MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Matokeo Madagascar vs Tanzania

Filed in Michezo by on 14/11/2021 0 Comments

Timu ya Taifa ya Tanzania imehitimisha kampeni yake ya kusaka tiketi ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 baada ya kupata alama moja ugenini ya bao 1-1 dhidi ya Madagascar

Bao pekee la Tanzania limefungwa na Simon Msuva kwenye kipindi cha kwanza dakika ya 24 akipokea pasi murua kutoka kwa Feisal Salum Abdallah.

Ulikuwa mchezo mgumu ambao wenyeji Madagascar walionekana kujipanga kuanzia nje ya uwanja Ili kuweza kupata ushindi, walifanikiwa kusawazisha bao hilo kwenye kipindi cha pili dakika ya 74.

Kwa matokeo hayo Tanzania inamaliza katika nafasi ya tatu kundi J ikikusanya jumla ya alama nane kama inayoonekana kwenye msimamo baada ya kila timu kucheza michezo yake 6.

Timu ya Taifa ya DR Congo imetinga hatua ya mtoano kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kuichapa Benin mabao 2-0 na kufikisha alama 11, alama moja mbele ya Benin, alama 3 mbele ya Tanzania iliyoko nafasi ya tatu, huku ikiizidi alama 7 Madagascar iliyoko mkiani.

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel