MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Matokeo Simba SC vs Namungo FC (NBC Premier League)

Filed in Michezo by on 03/11/2021 0 Comments

Soma: Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Wanafunzi waliofutiwa Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Wanafunzi 10 Bora Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Shule 10 Bora Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Soma: Kikosi Cha Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia vs DR Congo & Madagascar

Soma: Matokeo Yanga SC vs Ruvu Shooting November 02,2021

Soma: Magazeti ya Jumatano November 03,2021

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Namungo FC, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Alikuwa ni Meddie Kagere aliyeingia dakika ya 72 kuchukua nafasi ya Nahodha, John Raphael Bocco, alifunga bao hilo pekee akimalizia pasi ya beki wa kushoto, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’.

Aidha Namungo FC ilimaliza pungufu baada ya kiungo wake kutoka Zanzibar, Abdul Aziz Makame ‘Bui’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 42 kwa kumchezea rafu beki wa pembeni wa Simba SC, Shomari Salum Kapombe.

Baada ya ushindi huo Simba inafikisha pointi 11 na kupanda hadi nafasi ya pili ikiwa inazidiwa pointi nne na vinara Young Africans SC baada ya wote kucheza mechi tano, wakati Namungo FC ikibaki na pointi zake tano za mechi tano pia.

Mechi nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara November 03,2021, Coastal Union FC ya Tanga imelazimishwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons ya Mbeya, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kama ilivyokuwa kwa Biashara United na Mbeya City kwenye Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.

Biashara sasa inafikisha pointi sita, Coastal pointi ikifikisba nne, Mbeya City pointi saba na Prisons pointi mbili baada ya wote kucheza mechi tano pia.

Huu nido Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, (NBC Premier League) baada ya raundi ya tano kukamilika, na hiki ndicho ambacho kila mtu amevuna hadi sasa.

Kileleni ni Mwananchi, Young Africans SC huku mkiani ni Wajelajela Tanzania Prisons FC na Ligi sasa inasimama kupisha kalenda ya FIFA.

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel