MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Matokeo Simba SC vs Red Arrows November 28,2021

Filed in Michezo by on 28/11/2021 0 Comments

KLABU ya Simba SC imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, nyota wa mchezo alikuwa ni kiungo Mghana, Bernard Morrison aliyefunga mabao mawili na kutoa pasi ya bao moja.

Mchezaji huyo wa zamani wa Young Africans alifunga bao la kwanza dakika ya 16 na la tatu dakika ya 77, huku bao la pili likifungwa na mshambuliaji Mnyarwanda Meddie Kagere aliyefunga dakika ya 19.

Mchezo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa December 05,2021 Jijini Lusaka na mshindi wa jumla atafuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel