MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Matokeo Tanzania vs DR Congo November 11,2021

Filed in Michezo by on 11/11/2021 0 Comments

MATUMAINI ya Tanzania kufuzu kwa mara ya kwanza Fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar 2022 yamegonga mwamba baada ya kuchapwa mabao 3-0 nyumbani dhidi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Soma: Matokeo ya Darasa la Saba 2021

Mabao ya DR Congo ama (Leopards) yamefungwa na kiungo wa Klabu ya Lille inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa (League 1), Gael Romeo Kakuta Mambenga dakika ya sita, beki wa Cape Town City ya Afrika Kusini, Nathan Fasika Idumba dakika ya 66 na mshambuliaji wa Sharjah ya Dubai, Ben Malango Ngita dakika ya 85.

Matokeo Mlandege FC vs Yanga SC November 09,2021

Msimamo wa kundi J baada ya mechi ya usiku iliyomalizika kwa Benin kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Madagascar na kupanda juu kwenye msimamo wa kundi J wakiwa na jumla ya pointi 10 baada ya michezo mitano kwa kila timu.

Soma: Yacouba apelekwa Tunisia

Kwa msimamo huu, Benin sasa wanahitaji alama moja kufuzu hatua inayofuata, DR Congo wanahitaji pointi tatu Ili kufuzu, wakati Tanzania rasmi imeondolewa kwenye vita maana hata ikishinda mchezo ujao haitaweza kuongoza kundi.

Soma: Kocha Mpya Simba awasili Tanzania

Soma: Magazeti ya Alhamisi November 11,2021

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel