MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans

Filed in Michezo, New, Usajili by on 13/07/2023 0 Comments

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, RASMI MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Yanga SC, MAXI Mpia Nzengeli Yanga, MAXI Mpia Nzengeli atua Yanga sc, Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans, Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli kutoka SC AS Maniema Union,Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans SC.

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, Klabu Yanga imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Mshambuliaji, Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao DR Congo.

Maxi Nzengeli mwenye umri wa miaka 23, amesaini Mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wananchi kuanzia msimu ujao wa 2023/2024.

Kinda huyo anayesifika kuwa na mbio kali mithili ya digi digi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Tuisila Kisinda ambaye ameachwa baada ya mkataba wake kufikia tamati.

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, RASMI MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Yanga SC, MAXI Mpia Nzengeli Yanga, MAXI Mpia Nzengeli atua Yanga sc, Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans, Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli kutoka SC AS Maniema Union,Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans SC.Maxi Nzengeli anamudu kucheza winga zote mbili na Kiungo Mshambuliaji huku akisifika kwa kasi na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira, akiwa mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa ya DR Congo ambapo alikuwepo kwenye kikosi cha CHAN Cha DRC akicheza Sambamba na Mika Miche wa Lupopo na Zemanga Sonze wa  TP Mazembe.

MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, Rasmi MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Yanga SC, MAXI Mpia Nzengeli Yanga, MAXI Mpia Nzengeli atua Yanga sc, Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans, Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli kutoka SC AS Maniema Union,Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans SC.Maxi Mpia Nzengeli anakuwa Mchezaji mpya wa nne wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC, beki Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.

RASMI MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Young Africans, MAXI Mpia Nzengeli atambulishwa Yanga SC, MAXI Mpia Nzengeli Yanga, MAXI Mpia Nzengeli atua Yanga sc, Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans, Maxi Mpia Nzengeli Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli, Yanga yamsajili Maxi Mpia Nzengeli kutoka SC AS Maniema Union,Maxi Mpia Nzengeli Yanga SC, Maxi Mpia Nzengeli Young Africans SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel