MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa Kazi

Filed in Michezo, Usajili by on 08/07/2023 0 Comments

Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa Kazi

Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa Kazi

Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa Kazi

Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa Kazi, Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC, Miguel Gamondi raia wa Argentina amewasili nchini Tanzania Alfajiri ya leo July 08,2023 akitokea Hispania.

Ujio wa Miguel Gamondi ni ishara tosha kuwa sasa kazi inaanza ambapo Jumatatu ya July 10 atawakaribisha Wachezaji wote kambini pale Avic Town.

Miguel Gamondi awasili Tanzania tayari kwa KaziAidha Klabu hiyo inatatajiwa kutangaza benchi jipya la ufundi muda wowote kabla kuanza zoezi la kutangaza Wachezaji wapya, zoezi ambalo linalosubiriwa kwa hamu na Mashabiki wengi wa Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es.

Nafasi zinazosubiriwa kutangazwa kwenye benchi la ufundi ni Kocha Msaidizi, Kocha wa magolikipa, Kocha wa viungo na mchambuzi wa sayansi ya mpira (Football Analyst)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel