MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 11/07/2023 0 Comments

Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SC

Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SC

Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SC

Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SC, Mlinzi wa kushoto, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kubaki Simba SC hadi Julai 2025.

Zimbwe Jr ambaye ni nahodha msaidizi wa Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam amekuwa muhimili mkubwa katika eneo la ulinzi hivyo benchi la ufundi limeona huduma yake bado inahitajika kuelekea msimu mpya wa 2023/2024.

Mohamed Hussein bado yupo sana Simba SCZimbwe Jr ni miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi tangu ajiunge Simba akitokea Kagera Sugar ya Kagera mwaka 2015.

Simba imesema kuwa Malengo yao ni kuhakikisha wanarejesha mataji yao waliyopoteza hivyo kuhakikisha wanabakisha Wachezaji wote muhimu.

Zimbwe Jr anakuwa mchezaji wa pili wa Simba kuongezwa mkataba mpya baada ya mlinzi wa kulia Shomari Salum Kapombe ambaye naye amesaini mkataba miaka miwili unaofika tamati 2025.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel