MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023

Filed in Michezo, New, Usajili by on 11/07/2023 0 Comments

Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023

Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023

Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023

Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023, Klabu ya Yanga imemtangaza Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Senegal na Wydad Casablanca ya Morocco msimu wa 1991/1992 kabla ya Al Hila ya Saudi Arabia, Moussa Ndao kuwa Kocha Msaidizi wao mpya kuelekea msimu mpya wa 2023/2024.

Ndao anasajiliwa Yanga akichukua nafasi ya aliyekuwa Kocha Msaidizi, Cedric Kaze baada ya mkataba wake kumalizika.

Moussa Ndao Kocha mpya Msaidizi Young Africans 2023Ndao ni pendekezo la Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamonidi.

Miongoni mwa timu kubwa alizozifundisha Ndao ni Wydad Athletic msimu wa 2014 mpaka 2016 na Sportive Jeanne d’Arc pamoja na Sporting Club Chabab Mohammedia.

Uongozi wa Young Africans umemshukuru Kocha, Cedric Kaze kwa kipindi chake alichohudumu kama Kocha Msaidizi ndani ya Klabu hiyo na inamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mpya.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel