MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 13/02/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024,Kata za wilaya ya sengerema, Historia ya wilaya ya sengerema, Shule za sekondari, wilaya ya Sengerema, Shule za msingi wilaya ya sengerema, Jina la mkuu wa wilaya ya sengerema.

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024,Kata za wilaya ya sengerema, Historia ya wilaya ya sengerema, Shule za sekondari, wilaya ya Sengerema, Shule za msingi wilaya ya sengerema, Jina la mkuu wa wilaya ya sengerema.

POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE: 2024-02-13 2024-02-26
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji

(ii)Katibu wa Kamati ya kijiji

(iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri  katika Kijiji

(iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.

NAFASI Mpya za Kazi SIDO Tanzania February 2024

(v)Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji

(vi)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala  ya Ulinzi na Usalama.

(vii)Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.

(viii)Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.

(ix)Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE: 2024-02-13 2024-02-26
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

 

REMUNERATION TGS C

CLICK HERE TO APPLY

Ramani ya wilaya ya sengerema, Sengerema District profile, Nafasi za kazi HALMASHAURI ya Sengerema, Nafasi za kazi halmashauri ya wilaya ya magu, Nafasi za kazi halmashauri ya Ilemela, Sengerema mjini Nafasi za kazi, zilizotangazwa leo halmashauri ya Sengerema February 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel