MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


NIDA yaanza kutoa vitambulisho leo December 2023

Filed in Habari by on 21/12/2023 0 Comments

NIDA yaanza kutoa vitambulisho Leo December 2023

NIDA yaanza kutoa vitambulisho Leo December 2023,Jinsi ya kupata copy ya kitambulisho cha Taifa kwa haraka,Jinsi ya Kuangalia Taarifa zangu Za NIDA, www.nida.go.tz, id number NIDA Download, www.nida.go.tz, copy ya kitambulisho download, Jinsi ya kurekebisha kitambulisho cha NIDA, Namba yangu ya NIDA, Jinsi ya kupata kitambulisho cha NIDA online.

NIDA yaanza kutoa vitambulisho Leo December 2023

NIDA yaanza kutoa vitambulisho Leo December 2023,Jinsi ya kupata copy ya kitambulisho cha Taifa kwa haraka,Jinsi ya Kuangalia Taarifa zangu Za NIDA, www.nida.go.tz, id number NIDA Download, www.nida.go.tz, copy ya kitambulisho download, Jinsi ya kurekebisha kitambulisho cha NIDA, Namba yangu ya NIDA, Jinsi ya kupata kitambulisho cha NIDA online.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema hadi kufikia March 2024 kila mtu mwenye namba ya NIDA atakuwa na kitambulisho cha Taifa.

Je? Unahitaji kitambulisho kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na una namba pekee? basi mamlaka hiyo imeanza kugawa Vitambulisho Milioni 18.6 kwa Watanzania wenye namba tu, kazi itakayofanyika kwa siku 14 kuanzia Sasa.

Ugawaji wa vitambulisho hivyo, utahusisha Wananchi Katika Mikoa Saba ya Tanzania Bara ambayo ni Arusha, Dar Es Salaam, Kilimanjaro, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Ruvuma.

Aidha Vitambulisho hivyo vinapatikana katika ofisi za Vijiji na Serikali za Mitaa na Vitagawanywa kwa siku 14 tu.

Baada ya hapo kila Mtanzania ambaye hakuchukua kitambulisho chake Kwa muda huo na ana namba atalazimika kukifuata kitambulisho hicho kwenye ofisi za NIDA za Wilaya kwenye Mkoa anaoishi.

Hayo yameelezwa leo (Jana) December 20, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa NIDA, Geofrey Tengeneza alipozungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano uliolenga kuelimisha namna ya kuripoti matukio ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi yanayohusu majanga na uhalifu.

Tengeneza amesema mpaka sasa watu wenye namba ya NIDA pekee ni Milioni 20.7.

“Tumezalisha vitambulisho milioni 18.6 ambavyo tayari tumeshavisafirisha mpaka Vijijini, tutagawa kwa watu wenye namba za NIDA, tunataka kufikia January au Machi mwakani kila mtu awe na kitambulisho chake,” amesema.

Ameongeza kuwa ugawaji wa Vitambulisho unaendelea katika mikoa yote iliyolengwa na kwa maeneo ambayo bado, utakapoanza ndipo siku 14 zinaanza kuhesabiwa.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya akizungumzia Mafunzo, amewataka Waandishi wa habari za Mitandaoni kuzingatia maadili na kuepuka uchochezi, kuzua taharuki na kuondoa amani na utulivu nchini.

“Baadhi ya mitandao ya kijamii imekuwa ikiripoti habari za kihalifu zinazohitaji uokozi pasipo kuzingatia miiko ya uandishi wa habari, matokeo yake zinaleta uhasama na visasi miongoni mwa watu, tuzingatie maadili ya kazi zetu,” amesema.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel