MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku

Filed in Michezo, Makala by on 24/12/2023 0 Comments

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku,App nzuri ya kubeti, Jinsi ya kujua odds za ushindi, Jinsi ya kubeti sportpesa, Option za kubet na maana zake, Dawa ya kushinda bet, Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku jamii forum, Jinsi ya kupata odds za uhakika, Uchawi WA kubeti, Jinsi ya kubeti magoli, Mbinu za kubeti, Jinsi ya kushinda betpawa.

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku,App nzuri ya kubeti, Jinsi ya kujua odds za ushindi, Jinsi ya kubeti sportpesa, Option za kubet na maana zake, Dawa ya kushinda bet, Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku jamii forum, Jinsi ya kupata odds za uhakika, Uchawi WA kubeti, Jinsi ya kubeti magoli, Mbinu za kubeti, Jinsi ya kushinda betpawa.

Kwanza kabisa ninaomba nieleweke Katika hili, kama ambavyo Serikali imeagiza kwa mujibu wa sheriakuwa watoto wote (umri chini ya miaka 18 kubashiri  hawaruhusiwi kubashiri, hivyo basi sitegemei maelezo haya yakatumiwa na mtoto chini ya miaka 18.

Kama Umetimiza umri wa miaka 18 na kuendelea tafadhali tumia maelezo haya kama yalivyo, ukiyakiuka ukafeli au kuliwa pesa zako sitahusika.

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku,App nzuri ya kubeti, Jinsi ya kujua odds za ushindi, Jinsi ya kubeti sportpesa, Option za kubet na maana zake, Dawa ya kushinda bet, Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku jamii forum, Jinsi ya kupata odds za uhakika, Uchawi WA kubeti, Jinsi ya kubeti magoli, Mbinu za kubeti, Jinsi ya kushinda betpawa.

NJIA Nyepesi za Kubeti na Kushinda Kila Siku

Kama ambavyo watu wengi wamezoea kubeti karibu kila siku bila mafanikio, basi leo ninakuletea maujanja fulani hivi halafu twende sawa.

Kutokana na kuwa maelezo haya hayajakopiwa sehemu yoyote, basi ninaomba nikupe sheria zangu kwanza kabla hata haujaanza kubeti,JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU.


Sheria na Onyo kabla ya kuanza Kubeti

 1. Kuanza kubeti kwa njia hii haijalishi kama unafahamu timu, au historia ya timu, sababbu utatumia akili za Software maalum
 2. Unapobeti katika makampuni yoyote haupaswi kuwa unaongelea mikeka ya watu wengine kwa kuwatania kuwa hatashinda (utajichafulia nyota ya ushindi)
 3. Katika kila mkeka hautakiwi kuweka timu zaidi ya 4
 4. Hakikisha kila timu unayoweka umeitoa ktk Software hii nitakayokuonyesha hapa chini
 5. Kama ndio mara yako ya kwanza kubeti na haujazoea kuliwa pesa zako basi ninakushauri kubeti kwa kiwango kidogo sana kwa kila mkeka, kwa mfano unaweza kuweka shilingi mia tano (500/=) kwa kila mkeka
 6. Sheria ngumu ni hii hapa, hautakiwi kuwaza kushinda pesa nyingi kama mtaji wako ni mdogo
 7. Aidha kwa wale wenye mitaji mikubwa wanaweza kuweka hadi kiwango cha laki na nusu kwa mkeka mmoja
 8. Hakikisha kila mkeka unaoweka hauzidi Odds 5 (yaani ukizidisha points zote za timu zako ulizozipa ushindi basi zisizidi point 5)
 9. Hautakiwi kubeti kila siku kwa sababu kuna siku zingine hakuna timu za ushindi zinazocheza
 10. Ukitaka kubeti na kula kila siku basi utaweza endapo utakuwa mvumilivu kwa kiasi kidogo utakachokuwa unakipata

Baada ya Sheria, sasa twende kwenye hatua za uchaguzi wa timu

 1. Kwanza kabisa unatakiwa uwe na smartphone au uazime ya mtu mwingine
 2. Fungua playstore
 3. Tafuta application imeandikwa (Football Prediction) chini yake utaona neno (SauzanaProd)

Ukiandika hilo neno Football Prediction kwa usahihi basi itatokea ya kwanza kabisa na picha ya ni hii hapa chini,

 1. Baada ya kuipata sasa install na uifungue

Ukifungua ndani utaona imefunguka kama picha hii hapa chini inavyoonyesha,

 1. Kama inavyofahamika kuwa (1) ashinde wa nyumbani, (2) ashinde wa ugenini na (x) ni droo, sasa basi ukiangalia picha hiyo hapo juu utaona kuna sehemu imekolezwa rangi nyekundu, na ndani ya hiyo rangi unaona namba
 2. Kwa mfano Mechi ya kwanza hapo anacheza (Santiago) dhidi ya (Colo Colo) ukiangalia kulia mwao utaona upande wa (1) kuna namba 23, upande wa (2) kuna namba 50, maana yake hizo ni asilimia za Ushindi, yaani hapo wanakwambia kuwa (Colo Colo anaushindi kwa asilimia 50)
 3. Onyo ⇒ huwa tunachukua timu zenye asilimia kuanzia 70 na kuendelea, na ukipuuza kwenye hili basi tusilaumiane
 4. Kwa mfano subiri siku anacheza (Real Madrid, Barcelona, Bayern, Borusia Dortmund, Atletico Madrid, PSG, na wengine wengi tu ambao huwa wanaitwa wa uhakika) kisha njoo huku kwenye hii application angalia kwa umakini sana, kama wamepewa Asilimia chini ya 70 basi ujue wana game ngumu na wanaweza kutoa suluhu au kufungwa
 5. Zipo timu nyingi sana ambazo utakuta zina asilimia 70 na kuendelea, basi usiwe na tamaa sana, fuata sheria zangu, kuwa kila mkeka weka timu 3 au 4 basi, kisha weka mia tano yako kula elfu 3 au 5, na kwa wale wenye mitaji basi mtavuna.
 6. Kuna ile tabia ya kujaza timu nyingi, ndio hiyo pia ni nzuri lakini unatakiwa kuifanya kwa kutumia Megamix, angalia vizuri hapo kwenye picha hiyo juu utaona chini ya saa pale kuna kama kigaloni (lahasha hicho sio kigaloni bali ni kalenda, hivyo basi ukikibonyeza tu kitakuletea mechi nyingine za siku 3 mbele.
 7. Basi, chagua timu zenye asilimia 70 na kuendelea kisha ziunganishe (hata zikifika 6,7 au 8 sio mbaya) kisha weka katika mkeka mmoja, weka mpunga.
 8. Siku ukikosa timu hizo za asilimia 70 basi chukua mwisho 60 basi.
 9. Tafadhali usikiuke sheria zangu kwani utamchangia Muhindi, Mchina na Mzungu mpaka siku yako ya Mwisho unapoiaga betting

Nani anasema betting ni kamari?

Kamari = Unatumia jasho lako na kwa wakati huohuo unapata au unakosa ulichokitolea jasho

Bahati nasibu = Hautoki jasho wewe, anaetoka jasho ni mwingine na utapata au kukosa ulichokibahatisha baada ya muhusika kushinda au kushindwa

Ukibeti kwa akili zako hizo hizo za kila siku ambazo hazina kitu kipya utaumia kichwa, ninakushauri ubeti baada ya kuangalia timu kwenye hii application kwani kila siku timu zinasajili wachezaji na uwezo unaongezeka, na hii application inaonyesha uwezo wa timu kwa kutumia huo mfumo wa asilimia.


JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU

Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli nikuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi nakupata faida.

ili uweze kubeti na kushinda mkeka wako nilazima uzingatie yafuatayo

Usibeti kiushabiki

Hakikisha hubeti mchezo kwakuwa tu wewe ni shabiki wa timu hiyo na kuipa ushindi kwakuwa unaipenda timu hiyo. Kufanya hivyo kutakufanya upoteze Mara nyingi

WEKA TIMU CHACHE DAU KUBWA

Hii ndio mbinu ya ushindi kwenye mkeka, kumbuka kadiri unavyoweka timu nyingi kwenye mkeka unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kupoteza beti yako. Nimuhimu kuchagua ods chache za uhakika na kubeti dau kubwa kuliko kuweka ods nyingi na  na dau dogo kutegemea Kushinda fedha nyingi kwenye mkeka. Kufanya hivyo kutakufanya uwe unapoteza mkeka wako Mara kwa mara.

Chunguza mwenendo wa timu nivyema kuchunguza mwenendo wa timu katika mechi za karibuni matokeo yalikuwaje? Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje? He kikosi chatimu hiyo kwa siku husika kipoje? Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa?

Tuliza akili pale unapopoteza. Acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.

Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni. Japo sio za kuaminika Sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje.

Beti kwenye tovuti rahisi Kushinda na zenye bonasi. Ninaposema tovuti rahisi Kushinda ni zile app za kubeti ambazo huwa na options nyingi au machaguo mengi ambayo ni rahisi kutokea katika mchezo kwa mfano machaguo ya idadi ya Kona, Mpira kushikwa na golikipa, kadi nyekundu, n.k

Kampuni hizo ni pamoja na Gal Sport Tanzania.

BETI KISATAARABU

Kubeti kistaarabu ni kuacha kubeti hovyo, beti kwa mpangilio na ikiwa unautambua mchezo husika Usibeti kwa mihemko.

Ods zenye nafasi kubwa ya Kushinda.

Zipo ods ambazo huweza Kushinda Mara kwa Mara jaribu kuangalia katika kampuni ambayo unabeti

Mwisho.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel