MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 19/07/2023 0 Comments

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC,Pacôme Zouzoua atambulishwa Young Africans, Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC, Pacôme Zouzoua Yanga, Mahlatse Pacôme Zouzoua atua Yanga sc, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans, Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua kutoka Malumo Gallants, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans Pacôme Zouzoua ni Mwananchi.

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC,Klabu ya Yanga SC imetangaza kukamilisha Usajili wa Kiungo Mshambuliaji Peodoh Pacôme Zouzoua raia wa Ivory Coast mwenye umri wa Miaka 26 Kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili.

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC,Pacôme Zouzoua atambulishwa Young Africans, Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC, Pacôme Zouzoua Yanga, Mahlatse Pacôme Zouzoua atua Yanga sc, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans, Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua kutoka Malumo Gallants, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans Pacôme Zouzoua ni Mwananchi.Peodoh Pacôme Zouzoua aliibuka kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu nchini Ivory Coast ( Ligue 1) kwa Msimu wa 2022/23 akikabidhiwa gari jipya na Taasisi ya FRANK KESSIE FOUNDATION inayosimamiwa na nyota wa FC Barcelona Frank Kessie.

Pia nyota huyo alikuwa Mchezaji bora wa Klabu ya ASEC Mimosas huku Nafasi ya pili ikishikwa na Kramo Aubin aliyetua Simba na nafasi ya tatu ikishikwa na Zougrana Mohammed.

PEODOH Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC,Pacôme Zouzoua atambulishwa Young Africans, Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC, Pacôme Zouzoua Yanga, Mahlatse Pacôme Zouzoua atua Yanga sc, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans, Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua kutoka Malumo Gallants, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans Pacôme Zouzoua ni Mwananchi.Pacome mwenye uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo Mshambuliaji namba 10 na namba 8 ndiye mrithi wa Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ aliyeuzwa kwenda Azam FC.

Pacôme Zouzoua anakuwa Mchezaji mpya wa Saba wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa winga, Mahlatse Makudubela Skudu raia wa Afrika Kusini, beki wa Kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast.

Wengine ni Kiungo Mshambuliaji, Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao DR Congo na Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC.

Wengine ni beki, Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.

Pacôme Zouzoua atambulishwa Young Africans, Pacôme Zouzoua atambulishwa Yanga SC, Pacôme Zouzoua Yanga, Mahlatse Pacôme Zouzoua atua Yanga sc, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans, Pacôme Zouzoua Mchezaji mpya wa Young Africans, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua, Yanga yamsajili Pacôme Zouzoua kutoka Malumo Gallants, Pacôme Zouzoua Yanga SC, Pacôme Zouzoua Young Africans Pacôme Zouzoua ni Mwananchi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel