MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Pichaz: Simba yaifuata Ruvu Shooting

Filed in Michezo by on 17/11/2021 0 Comments

Soma: Ratiba ya Michezo inayofuata NBC Premier League

MSAFARA wa kikosi cha Simba SC, umeondoka Jijini Dar es salaam kuelekea Jijini Mwanza kwaajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) dhidi ya Ruvu Shooting FC.

Soma: Magazeti ya Jumatano November 17,2021

Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Ijumaa hii ya November 19, 2021 kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

NCHI 10 za Afrika zilizofuzu hatua ya mtoano Kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar 2022

Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Pablo Franco amesema kuwa wanakwenda Mwanza wakiwa na matumaini makubwa ya kushinda mchezo huo wa ugenini.

Kwa upande wa wachezaji, nahodha msaidizi Shomari Kapombe amesema kuwa wao wamejipanga kupata alama tatu kwa kila mchezo ulioko mbele yao.

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel