MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FC

Filed in Michezo, Usajili by on 06/03/2024 0 Comments

PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FC

PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FC

PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FC

PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FC,Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na timu yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zake akiwa na jezi ya Azam FC alizokuwa ameziposti kwenye ukurusa wake wa Instagram.

Juzi Dube aliandika barua ya kuomba kuondoka Azam Fc ambapo mpaka sasa bado ameweka msimamo licha ya Azam Fc kumtaka alipe zaidi ya Tsh 800M kuvunja mkataba wake au kurejea mazoezini na wenzake

PRINCE Dube afuta Picha zote za Azam FCAidha Dube hahudhurii mazoezi ya Azam Fc huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa amerejesha na nyumba aliyokuwa amepangishiwa na Azam Fc

Dube amesisitiza anavunja mkataba wake ili arejee kwao Zimbabwe na sio kujiunga na timu yoyote hapa Tanzania

Ni wazi sasa Azam FC watamkosa Dube kwenye mchezo dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu March 17-2024.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel