MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa

Filed in Makala by on 26/12/2023 0 Comments

PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa

PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa, HESLB yaanika kozi zitakazopewa kipaumbele mikopo elimu ya juu 2023-24, HESLB time table,HESLB news today on loan, dirisha la mkopo 2023/2024, HESLB for discontinued students, HESLB Loan for Masters HELSB 2023/2024, HESLB login, HESLB Guide Book 2023/24 PDF, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB Batch 1, heslb news 2023/24, Asilimia za mikopo HESLB.

PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa

PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa, HESLB yaanika kozi zitakazopewa kipaumbele mikopo elimu ya juu 2023-24, HESLB time table,
HESLB news today on loan, dirisha la mkopo 2023/2024, HESLB for discontinued students.

Zifuatazo ni  Programu za Stashahada za kipaumbele zilizoongezwa katika TOLEO LA PILI’ la ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’  unaopatikana kupitia https://heslb.go.tz/assets/pdf/Mkopo_wa_Stashahada_-_Toleo_la_pili.pdf

Mining and Earth Science

i. Ordinary Diploma in Geology and Mineral Exploration

ii. Ordinary Diploma in Petroleum Geosciences and Exploration

iii. Ordinary Diploma in Land and Mine Surveying

Transport and Logistics

i. Ordinary Diploma in Marine Transport and Nautical Science

ii. Ordinary Diploma in Shipping and Logistics Management

iii. Ordinary Diploma in Transport and Supply Chain Management

Agriculture and Livestock

i. Ordinary Diploma in Range Land Management and Tsetse fly control from Livestock

ii. Ordinary Diploma in Sugarcane Production Technology

HESLB Loan for Masters HELSB 2023/2024, HESLB login, HESLB Guide Book 2023/24 PDF, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB Batch 1, heslb news 2023/24, Asilimia za mikopo HESLB.

PROGRAMU za Stashahada Zilizoongezwa

Engineering

i. Ordinary Diploma in Oil and Gas Engineering Technology

ii. Ordinary Diploma in Environmental Engineering and Management

iii. Ordinary Diploma in Naval Architecture and Offshore Engineering

iv. Ordinary Diploma in Metallurgy and Mineral Processing Engineering

v. Ordinary Diploma in Mining Engineering

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,

Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,

S.L.P. 984,

DODOMA

Jumapili, Disemba 24, 2023

HESLB Loan for Masters HELSB 2023/2024, HESLB login, HESLB Guide Book 2023/24 PDF, Vigezo vya kupata Mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB Batch 1, heslb news 2023/24, Asilimia za mikopo HESLB.

MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO

Waombaji wote wa mikopo ya
elimu kwa ngazi ya Stashahada kwa mwaka wa masomo 2023/2024 wanafahamishwa kuzingatia mambo
yafuatayo:-

 • Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo
  wa mwaka wa masomo 2023/2024;
 • Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne
  atakayoitumia mwombaji iwe sawa na aliyoombea udahili
  wa chuo;
 • Kuhakikisha kuwa fomu ya maombi ya mkopo na mkataba
  zimesainiwa na viongozi wa serikali ya mtaa, mdhamini na
  kamishna wa viapo.;
 • Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla
  ya kuziwasilisha HESLB kwa njia ya mtandao;
 • Kuhakikisha kwamba vyeti vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa
  na Wakala w Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa
  Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar (ZCSRA) au Afisa
  aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo;
 • Kwa mwombaji mwenye akaunti ya benki ajaze taarifa zake
  kwa usahihi kwenye fomu ya maombi ya mkopo;
 • Kwa mwombaji mwenye Namba ya simu na kitambulisho
  cha taifa (NIDA) ahakikishe anajaza namba hizo wakati wa
  kuomba mkopo.
 • Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
 • OLAS Heslb Online Application Academic Year 2023/2024

KUFUNGULIWA DIRISHA LA
MAOMBI AWAMU YA PILI

Kwa wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu kwa ngazi ya
Stashahada kwa awamu ya pili, dirisha la maombi ya mkopo kwa
mwaka wa masomo 2023/2024 limefunguliwa kwa siku 14 kuanzia
tarehe 21 Disemba, 2023 hadi tarehe 04 Januari, 2024.

Dirisha la awamu ya pili, wanafunzi walengwa wamegawanyika katika
makundi matatu ambao watapaswa kuwasilisha maombi yao kwa
njia ya mtandao kupitia https://olas.heslb.go.tz

Kundi la Kwanza ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Stashahada
za kipaumbele kama zilivyotajwa katika ‘TOLEO LA KWANZA’ la
‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024’ ambao awali hawakuweza kuomba kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuchelewa hadi dirisha kufungwa.

Kundi la Pili ni wanafunzi wa mwaka wa pili au wa tatu wa Stashahada
za kipaumbele kama zilivyotajwa katika ‘TOLEO LA KWANZA’ la
‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada
kwa mwaka 2023-2024’.Wanafunzi hawa, ambao awali hawakuweza kuomba mkopo, sasa wanaruhusiwa kuomba.

Kundi la Tatu ni wanafunzi wa Stashahada za kipaumbele
ZILIZOONGEZWA kupitia mwongozo huu; ‘TOLEO LA PILI’ la ‘Mwongozo
wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka
2023-2024’.

Wanafunzi wote wanaoomba mkopo wa Stashahada kupitia dirisha
hili la awamu ya pili wanakumbushwa kusoma ‘TOLEO LA KWANZA’ la
‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada
kwa mwaka 2023-2024’ ambao unapatikana katika www.heslb.go.tz
na www.nactvet.go.tz

MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO

MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 DONWLOAD PDF

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel