MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024

Filed in Michezo by on 02/02/2024 0 Comments

RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024

RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024,Mechi za Simba mwezi huu wa Pili,Ratiba ya mechi za Simba Ligi kuu,Ratiba ya mechi za leo 2024,Ratiba ya Mechi Za Simba zinazofuata,ratiba ya mechi za simba February 2023/2024, ratiba ya nbc premier league 2023/24

RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024

RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024,Mechi za Simba mwezi huu wa Pili,Ratiba ya mechi za Simba Ligi kuu,Ratiba ya mechi za leo 2024,Ratiba ya Mechi Za Simba zinazofuata,ratiba ya mechi za simba February 2023/2024, ratiba ya nbc premier league 2023/24.

Klabu ya Simba SC inatarajiwa kucheza michezo nane (8) mwezi February 2024, ikiwa mechi 6 ni za kukamilisha raundi ya kwanza na Kuanza raundi ya Pili Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2023/2024).

Mechi 1 ni ya CAF Champions League 2023/2024 hatua ya Makundi na nyingine ni ya Azam Sports Federation Cup hatua ya 32 Bora.

RATIBA Kamili ya Mechi za Simba mwezi February 2024

➡️ February 03,2024
1️⃣1️⃣16:00 Mashujaa vs Simba SC

➡️ February 06-2024
1️⃣2️⃣16:00 Tabora United vs Simba SC

➡️ February 09-2024
1️⃣3️⃣TBA Simba SC vs Azam FC

➡️ February 12-2024
1️⃣4️⃣16:00 Geita Gold vs Simba SC

➡️February 15-2024
1️⃣5️⃣18:30 JKT Tanzania FC vs Simba SC

➡️February 18, 2024
1️⃣6️⃣TBA TBA Simba SC vs Mtibwa Sugar

➡️ TBA
TBA Simba SC vs TRA Kilimanjaro

➡️February 24, 2024
TBA ASEC Mimosas vs Simba SC

Ratiba ya mechi za Simba,Ratiba ya mechi za Simba NBC Premier League, ratiba ya simba February 2024, Mechi za Simba zilizobaki 2024, Ratiba ya mechi za leo NBC,ratiba ya nbc premier league 2023/24.

RATIBA ya Mechi za Simba mwezi February 2024,Mechi za Simba mwezi huu wa Pili,Ratiba ya mechi za Simba Ligi kuu,Ratiba ya mechi za leo 2024,Ratiba ya Mechi Za Simba zinazofuata,ratiba ya mechi za simba February 2023/2024, ratiba ya nbc premier league 2023/24Simba SC vs JKT Tanzania FC,Simba vs Geita Gold FC,Simba SC vs Azam FC,Simba vs Tabora United,Simba SC vs Mashujaa FC, Simba Sports Club vs Mtibwa Sugar, Simba Sports Club vs Azam FC, Simba vs Geita Gold FC, Simba vs Mashujaa fc.

Simba S.C. matches,Simba sc fixtures,Simba match today, Simba live match today, simba s.c players, Simba sc today, simba line up today, Simba leo, Simba sc live score.

Kuhusu Simba Sports Club.

Simba Sports Club ni timu ya soka iliyo na makao makuu katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa kwanza Eagles na baadaye tena iliitwa Dar Sunderland.

Mwaka 1971 ikaibadilisha jina lake kabisa na kuitwa, Simba Sport Club (ambalo linamaanisha Lion kwa Kiinɡereza).

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wakubwa ni Younɡ Africans.

Simba ni Mabingwa wa taifa mara 18 tena ni Mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame.

Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

Mabadiliko ya utawala

Klabu ya soka ya Simba imesajiliwa kwa mujibu wa sheria namba 12 ya baraza la michezo la taifa ya mwaka 1967 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 1971.Katiba ya sasa ya timu ya Simba iliandikwa mwaka 2018 na kupitishwa tarehe 20 May 2018 na msajili wa vyama vya soka na klabu, na kisha kusajililiwa na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA).Safari ya timu ya soka ya Simba kuelekea mabadiliko ilianza mwaka 2016 ambapo Kamati kuu kwa wakati ule ilibaini kwamba klabu iliendeshwa nje ya misingi na dira yake, hivyo kupelekea kushindwa kutimiza matarajio ya wadau wake, jambo lililopelekea kuwepo na ulazima wa kufanya mabadiliko ya kisasa kwa ajili ya maendeleo ya klabu.Kamati kuu iliteua wajumbe wa kujitolea na wataalamu kwa ajili ya kufanya utafiti ili kubaini chanzo cha kutetereka kwa klabu ikiwemo kuzorota kwa uongozi, maendeleo hasi ya kiufundi, hali mbaya ya kifedha na kisha kupendekeza namna ya kufanya mabadiliko ili kuinusuru klabu.Kutokana na ripoti kamili na mapendekezo yaliyotolewa na Kamati ya mabadiliko mnamo Septemba 2016.Klabu ya soka ya Simba ipo katika mchakato wa mabadiliko hayo kwa kubadili mfumo wake wa kisheria na kiuendeshaji kutoka mfumo wa wanachama na kuwa kampuni ya dhima ya umma inayojulikana kama Simba Sports Club Limited, ambayo imeundwa na pande mbili; wanachama wakimiliki asilimia 51 ya hisa ambapo kati ya hizo, asilimia 10 zimelipiwa zote na kubaki asilimia 41, huku mwekezaji akimiliki asilimia 49.Mabadiliko yote yalifanyika kupitia mchakato wa wazi wa kutangaza zabuni na kusimamiwa na kamati maalumu ya uwekezaji wa klabu.Kabla ya kupokea zabuni, kamati maalumu ya uwekezaji ya timu ya soka ya Simba, iliteua kamati ya kufanya tathmini ambayo ilijumuisha wajumbe watano wakiwa na jukumu la kufanya tathmini na kuleta mapendekezo kwenye kamati ya uwekezaji kwa kubainisha zabuni gani ilikuwa na faida kiuchumi.Zabuni iliyopata tathmini ya juu zaidi ilikuwa ni ya ndugu Mohammed Dewji ambayo ilikubalika kwa kukidhi vigezo vya tathimini kama vilivyobainishwa kwenye nyaraka za zabuni.Mchakato wa kufanya tathmini ulipitia hatua zifuatazo: Tathmini ya hisa, mkakati wa kiufundi, mpango wa kifedha na mwisho ilikuwa hatua ya makubaliano.Tarehe 2 Novemba 2018, Simba Sports Company Limited ilijumuishwa na kuwa na wanahisa wawili wakijulikana kama Simba Sports Club Holding company limited ikimiliki asimilia 10 ya hisa zilizolipiwa na asilimia 41 ambazo hazijalipiwa jumla hisa 51, na Mo Simba Company Limited ikimiliki asilimia 49 ya hisa zikiwa zote zimelipiwa. Mchakato wa mabadiliko haya upo katika hatua za mwisho kukamilika.Kama sheria inavyoelekeza katika kifungu cha 11 cha sheria ya ushindani wa biashara ya mwaka 2003; klabu ya soka ya simba: Imeomba idhini kutoka tume ya ushindani wa biashara kuhakikisha kwamba mchakato wa mabadiliko hauangukii katika ujumuishaji wa hisa (merger and acquisition) Inazingatia kanuni za mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) kuhusu uhamishaji wa mali Imeanza zoezi la uhakiki ili kutambua wanachama hai wa klabu ambao watanufaika na hisa.Mchakato huu unaendelea vizuri na wanachama pamoja na mashabiki wa timu ya Simba wameanza kushuhudia mabadiliko chanya ndani ya klabu yao pendwa.

Kuhusu Utawala

Simba Sports Club imebadilisha utawala au usimamizi wake kutoka kutawaliwa na mashabiki na badala yake kusimamiwa na mwanahisa aitwae Mohammed Gulam Dewji.

Katika muundo huu wa utawala wa Simba Sports Club imeuza hisa zake 49% kwa Mohammed Gulam Dewji huku wanachama wa Simba wakibakiwa na 51%.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel