MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa

Filed in Michezo by on 12/02/2024 0 Comments

RATIBA ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa

RATIBA ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Ratiba ya Mazishi ya Edward Lowassa, Rariba ya Maombolezo ya Edward Lowassa, Ratiba msiba wa Lowassa, rariba maombolezo ya Edward Lowassa.

RATIBA ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa

RATIBA ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Ratiba ya Mazishi ya Edward Lowassa, Rariba ya Maombolezo ya Edward Lowassa, Ratiba msiba wa Lowassa, rariba maombolezo ya Edward Lowassa.

Ratiba Kamili ya Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, 2024 kijijini kwao Ngarashi Wilayani Monduli Mkoa wa Arusha.

Waziri huyo wa zamani wa Tanzania, amefariki Dunia Februari 10, 2024 saa 8 mchana katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango jana, Lowassa alifikishwa katika taasisi hiyo baada ya kuugua shinikizo la damu, matatizo ya mapafu na kujikunja kwa utumbo.

Taarifa kuhusu maziko yake, imetolewa leo Februari 11, 2024 na Msemaji binafsi wa Lowassa, Aboubakar Liongo nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongws, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kuanzia Tarehe 11 – 17 Februari, 2024 (Sehemu ya 1)

Kuanzia Tarehe 11 – 17 Februari, 2024 (Sehemu ya 2)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel