MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

Filed in Michezo by on 10/01/2024 0 Comments

RATIBA ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

RATIBA ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Timu Zilizofuzu Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024, Ratiba Kamili ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, ratiba kamili ya Mapinduzi Cup 2023/2024.

Mashindano ya Mapinduzi Cup 2023/2024 yalioanza December 28, 2023 yakijumuisha timu 12 kutoka nchi sita yanatarajiwa kufika tamati January 13, 2024, Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table and Results: Kombe la Mapinduzi 2023-24.

Nusu Fainali ya Kwanza ya Michuano hiyo inatarajiwa kuchezwa kesho Jumanne ya January 09, huku Nusu Fainali ya Pili ikipigwa Jumatano ya January 10 na Fainali itapigwa Jumamosi ya January 13,2024.MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024

Nijuze Habari inakuletea Orodha ya timu zilizofanikiwa kutinga Robo Fainali ya Michuano hiyo ambayo Mshindi wake atabeba Tsh Milioni 100 na Mshindi wa Pili ataondoka na Milioni 80.

Orodha Kamili ya Timu Zilizofuzu hatua ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024.

  1. Mlandege FC – Zanzibar.
  2. APR FC – Rwanda.
  3. Singida FG – Tanzania Bara.
  4. Simba SC – Tanzania.

RATIBA Kamili ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

➡️Jumanne January 09, 2024
20:15 Mlandege vs APR FC

➡️Jumatano January 10, 2024
20:15 Singida FG vs Simba SC

Kuhusu Mapinduzi Cup Zanzibar 

RATIBA ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Timu Zilizofuzu Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024, Ratiba Kamili ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, ratiba kamili ya Mapinduzi Cup 2023/2024.

RATIBA ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

Mapinduzi Cup ni Mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Cup ni Mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya Kwanza mwaka wa 1998. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu 2013 vilabu kutoka Kenya na Uganda vimealikwa kushiriki mara kwa mara. Pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere, michuano hiyo mitatu ndiyo michujo Mikuu ya mtoano visiwani Zanzibar.

Champions

Year Winners Results Runner-ups Ref.
1998
Jamhuri
2 – 1
Shangani SC
2001
Polisi SC
2002
KMKM
2004
Young Africans SC
2 – 1
Mtibwa Sugar
2005
Mafunzo FC
2 – 0
JKU SC
2006
not held
2007
Malindi SC
2 – 0
Miembeni SC
2008
Miembeni SC
2 – 1
Polisi SC
2009
not held
2010
Mtibwa Sugar
1 – 0
Ocean View FC
2011
Simba SC
2 – 0
Young Africans SC
2012
Azam FC
3 – 1
Jamhuri
2013
Azam FC
2 – 1
Tusker FC
2014
Kampala City Council
1 – 0
Simba SC
2015
Simba SC
0 – 0 (4–3 pen.)
Mtibwa Sugar
2016
Uganda Revenue Authority
3 – 1
Mtibwa Sugar
2017
Azam FC
1 – 0
Simba SC
2018
Azam FC
0 – 0 (4–3 pen.)
Uganda Revenue Authority
2019
Azam FC
2– 1
Simba SC
2020
Mtibwa Sugar
1–0
Simba SC
2021
Young Africans
0–0 (4–3 pen.)
Simba SC
2022
Simba SC
1 – 0
Azam FC
2023
Mlandege FC
2 – 1
Singida Big Stars

Winner by club

Club Number Years
Azam FC
5
2012, 2013, 2017, 2018, 2019
Simba SC
3
2011, 2015, 2022
Mtibwa Sugar
2
2010, 2020
Young Africans SC
2
2004, 2021
Jamhuri
1
1998
Polisi SC
1
2001
KMKM
1
2002
Mafunzo FC
1
2005
Malindi SC
1
2007
Miembeni SC
1
2008
Kampala City Council
1
2014
Uganda Revenue Authority
1
2016
Mlandege FC
1
2023

Ratiba ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024 Ratiba na Matokeo ya Mapinduzi Cup 2023, Mapinduzi cup winners 2024, Mapinduzi cup 2024 fixtures, Mapinduzi Cup 2024, Mapinduzi Cup 2024, MAPINDUZI YA ZANZIBAR, Mapinduzi Cup 2024, Mapinduzi cup results, Mapinduzi cup live, Mapinduzi cup fixtures, Mapinduzi Cup 2023, Mapinduzi Cup 2023 winner.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel