MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYAΒ HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023/2024

Filed in Michezo by on 03/01/2024 0 Comments

RATIBA ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023/2024

RATIBA ya Mechi za Yanga Kombe la Mapinduzi 2023/2024, ratiba ya Mechi za Yanga Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024,Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, timu zikakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba kamili ya Yanga Sc kombe la Mapinduzi.

RATIBA ya Mechi za Yanga Kombe la Mapinduzi 2023/2024

RATIBA ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023/2024, ratiba ya Mechi za Yanga Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024,Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, timu zikakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba kamili ya Yanga Sc kombe la Mapinduzi.

Klabu ya Yanga itaanza kampeni zake za kusaka Kombe la Mapinduzi kwa kucheza dhidi ya Jamhuri SC ya Zanzibar December 31, 2023.

Yanga iliyopo kundi C Itashiriki Michuano hiyo ambayo mwaka huu msisimko utaongezeka kutokana na idadi ya timu kuongezeka hadi 12, Yanga vs Jamus FC, Yanga vs Jamhuri SC, Yanga vs KVZ FC.

RATIBA ya Mechi za Yanga Kombe la Mapinduzi 2023/2024, ratiba ya Mechi za Yanga Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024,Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, timu zikakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba kamili ya Yanga Sc kombe la Mapinduzi.

RATIBA ya Mechi za Yanga Kombe la Mapinduzi 2023/2024

Mchezo wa pili utapigwa January 02 dhidi ya Jamus FC na mchezo wa mwisho wa hatua ya Makundi utakuwa dhidi ya KVZ FC ya Zanzibar January 04.

Ratiba kamili ya Simba kombe la Mapinduzi 2023/2024

31 December 2023 Mapinduzi Cup 2023/2024
πŸ‘‰20:15 Jamhuri SC vs Yanga SC (Amaan Stadium)

02 January 2024 Mapinduzi Cup 2023/2024
πŸ‘‰20:15 Jamus FC vs Yanga SC (Amaan Stadium)

04 January 2024 Mapinduzi Cup 2023/2024
πŸ‘‰20:15 Yanga SC vs KVZ FC (Amaan Stadium)

TIMU 12 Zitakazoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2023/2024

 • Mlandege FC – Zanzibar
 • Singida FG – Tanzania Bara
 • Β Vital’O FC – Burundi
 • Simba SC – Tanzania Bara
 • Yanga SC – Tanzania Bara
 • APR FC – Rwanda
 • Azam FC – Tanzania Bara
 • Jamus FC – Sudan Kusini
 • JKU SC – Zanzibar
 • KVZ FC- Zanzibar
 • Chipukizi FC – Zanzibar
 • Jamhuri SC – Zanzibar

Aidha Mashindano ya Mapinduzi ni sehemu ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyoondoa Madarakani Utawala wa Sultan mnamo January 12, 1964.

Timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Makundi ya Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Makundi Mapinduzi Cup 2023/24, ratiba ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2023-2024, Ratiba Mapinduzi Cup 2023/2024.

ratiba ya Yanga Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba Yanga SC Kombe la Mapinduzi Zanzibar, ratiba ya Mapinduzi Cup 2023/24, Yanga Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Simba Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Azam FC Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Singida FG FC Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024, Azam FC Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024.

Kuhusu Mapinduzi Cup ZanzibarΒ 

Mapinduzi Cup ni Mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Cup ni Mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya Kwanza mwaka wa 1998. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu 2013 vilabu kutoka Kenya na Uganda vimealikwa kushiriki mara kwa mara. Pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere, michuano hiyo mitatu ndiyo michujo Mikuu ya mtoano visiwani Zanzibar.

Champions

Year Winners Results Runner-ups Ref.
1998
Jamhuri
2 – 1
Shangani SC
2001
Polisi SC
2002
KMKM
2004
Young Africans SC
2 – 1
Mtibwa Sugar
2005
Mafunzo FC
2 – 0
JKU SC
2006
not held
2007
Malindi SC
2 – 0
Miembeni SC
2008
Miembeni SC
2 – 1
Polisi SC
2009
not held
2010
Mtibwa Sugar
1 – 0
Ocean View FC
2011
Simba SC
2 – 0
Young Africans SC
2012
Azam FC
3 – 1
Jamhuri
2013
Azam FC
2 – 1
Tusker FC
2014
Kampala City Council
1 – 0
Simba SC
2015
Simba SC
0 – 0 (4–3 pen.)
Mtibwa Sugar
2016
Uganda Revenue Authority
3 – 1
Mtibwa Sugar
2017
Azam FC
1 – 0
Simba SC
2018
Azam FC
0 – 0 (4–3 pen.)
Uganda Revenue Authority
2019
Azam FC
2– 1
Simba SC
2020
Mtibwa Sugar
1–0
Simba SC
2021
Young Africans
0–0 (4–3 pen.)
Simba SC
2022
Simba SC
1 – 0
Azam FC
2023
Mlandege FC
2 – 1
Singida Big Stars

Winner by club

Club Number Years
Azam FC
5
2012, 2013, 2017, 2018, 2019
Simba SC
3
2011, 2015, 2022
Mtibwa Sugar
2
2010, 2020
Young Africans SC
2
2004, 2021
Jamhuri
1
1998
Polisi SC
1
2001
KMKM
1
2002
Mafunzo FC
1
2005
Malindi SC
1
2007
Miembeni SC
1
2008
Kampala City Council
1
2014
Uganda Revenue Authority
1
2016
Mlandege FC
1
2023

PIA UNAWEZA KUSOMAπŸ‘‡

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
Β  Nijuze Habari WhatsAp Group
Β  Nijuze Habari Telegram Channel
Β