MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


SALEH Karabaka Mchezaji Mpya Simba SC 2023/2024

Filed in Usajili, Michezo by on 01/01/2024 0 Comments

SALEH Karabaka Mchezaji Mpya Simba SC 2023/2024

SALEH Karabaka Mchezaji Mpya Simba SC 2023/2024

SALEH Karabaka Mchezaji Mpya Simba SC 2023/2024

SALEH Karabaka Mchezaji Mpya Simba SC 2023/2024, Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu.

Usajili wa Karabaka mwenye umri wa miaka 23 unakuwa wa kwanza katika dirisha hili dogo la usajili.

Karabaka tayari amejiunga na timu Visiwani Zanzibar na ataanza kuonekana akiwa na jezi ya Mnyama katika michuano ya Mapinduzi inayoendelea.

Pamoja na uwezo alionao Karabaka jambo jingine lililoivutia Simba hadi Kumsajili ni umri wake mdogo ambao inaamini atakuwa msaada mkubwa kwa timu hiyo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel