MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2024/25

Filed in Habari, Ajira, Michezo, TAMISEMI by on 09/01/2024 0 Comments

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2024/25

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2023/24,Serikali ya Rais Samia kumwaga mitaani ajira zaidi ya 23000 za walimu na Secta ya Afya, TAMISEMI news today ajira, Tangazo la ajira TAMISEMI, Majina ya walimu Ajira Mpya, TAMISEMI Ajira za walimu 2024, VIGEZO VYA Ajira za walimu 2024,Fursa za ajira kwa Vijana 2024, TAMISEMI Ajira za Afya, Ajira Za Walimu 23000, Ajira Mpya za walimu zilizotangazwa leo, ajira za walimu 2023/2024, Tangazo la Ajira Za Walimu 2023 PDF Download, TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu /2023/2024.

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2024/25

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2024/25,Serikali ya Rais Samia kumwaga mitaani ajira zaidi ya 23000 za walimu na Secta ya Afya, TAMISEMI news today ajira, Tangazo la ajira TAMISEMI, Majina ya walimu Ajira Mpya, TAMISEMI Ajira za walimu 2024, VIGEZO VYA Ajira za walimu 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali inatarajia kutoa ajira 23,000 za Walimu na Maafisa Afya hivi karibuni ambapo tayari wizara imeshapata kibari cha kutoa ajira hizo.

Waziri Mchengerwa amebainisha hayo akiwa Mkoani Morogoro wakati akifunga Kikao Kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi Elimu na Maafisa wa Elimu wa Halmashauri zote nchini, ambao wamektana kwa lengo la kujadili utekelezaji na Uboreshaji wa Sekta ya Elimu.

Waziri Mchengerwa ameongeza kuwa Serikali imeendelea kutoa Ajira za Ualimu ambapo kwa mwaka 2022/23 jumla ya walimu 13,130 waliajiriwa na kupangiwa kazi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, huku akifanikiwa kuwapandisha madaraja walimu 227,263 pamoja na kuwalipa walimu wa ajira mpya stahiki zao.

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2023/24,Serikali ya Rais Samia kumwaga mitaani ajira zaidi ya 23000 za walimu na Secta ya Afya, TAMISEMI news today ajira, Tangazo la ajira TAMISEMI, Majina ya walimu Ajira Mpya, TAMISEMI Ajira za walimu 2024, VIGEZO VYA Ajira za walimu 2024,Fursa za ajira kwa Vijana 2024, TAMISEMI Ajira za Afya, Ajira Za Walimu 23000, Ajira Mpya za walimu zilizotangazwa leo, ajira za walimu 2023/2024, Tangazo la Ajira Za Walimu 2023 PDF Download, TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu /2023/2024.

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2023/24

“Natambua kwamba kwa Mwezi huu wa Jnuary Ofisi ya Rais TAMISEMI tunacho kibali cha ajira na tutangaza hivi punde ajira za Walimu na Maafisa Afya takribani 23,000 wataajiriwa hivi karibuni” Amesema Waziri Mchengerwa

Awali akitaja Mafanikio ya Serikali katika uboreshaji wa sekta ya Elimu, Waziri Mchengerwa amesema kuwa Serikali imetenga fedha Shilingi Trioni 1.2 kwaajili ya Uboreshaji wa Miundombinu Elimu Sekondari kwa kipindi cha miaka miatno 2021/25 huku Serikali ikutumia shilingi Bilioni 33.3 kila mwezi kwaajili ya Elimu bila Malipo.

SERIKALI Kuajiri Walimu na Maafisa Afya 23000 2024/25,Fursa za ajira kwa Vijana 2024, TAMISEMI Ajira za Afya, Ajira Za Walimu 23000, Ajira Mpya za walimu zilizotangazwa leo, ajira za walimu 2023/2024, Tangazo la Ajira Za Walimu 2023 PDF Download, TAMISEMI Ajira Mpya za Walimu /2023/2024.

Credit: Millardayo

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel