MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Shomari Kapombe bado yupo sana Simba

Filed in Michezo, New, Usajili by on 11/07/2023 0 Comments

Shomari Kapombe bado yupo sana Simba

Shomari Kapombe bado yupo sana Simba

Shomari Kapombe bado yupo sana Simba

Shomari Kapombe bado yupo sana Simba, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Simba SC, Shomari Salum Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC hadi Julai 2025

Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika mwishoni mwa msimu uliopita ambapo benchi la ufundi lilipendekeza beki huyo mahiri zaidi upande wa kulia nchini aongezewe mkataba.

Shomari Kapombe bado yupo sana Simba

 

Tangu alivyorejea kwa mara ya pili mwaka 2017 kutoka Azam FC, Kapombe amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza mpaka sasa licha ya kupita makocha tofauti tofauti.

Licha ya kuwa Mchezaji muhimu ndani ya timu hiyo sifa yake nyingine kubwa ni kuwa miongoni mwa wachezaji wenye nidhamu hivyo ni mfano wa kuigwa na vijana.

Pamoja na zoezi la usajili wa wachezaji wapya kuendelea lakini Simba pia inawaongezea mikataba nyota ambao bado huduma zao bado zinahitajika.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel