MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA

SIMBA Yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024

Filed in Michezo by on 16/12/2023 0 Comments

SIMBA Yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024

SIMBA Yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024,Mkutano Mkuu wa Simba SC na Waandishi,Simba yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024,Simba yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka, Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024.

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club inawaarifu Wanachama wake wote kuwa Mkutano Mkuu wa Mwaka 2023 utafanyika Jumapili ya tarehe 21 January, 2024 kuanzia saa 3 asubuhi katika Ukumbi wa Julius Nyerere International Conventional Centre (JNICC).

Agenda za Mkutano huo ni kama zilivyoainishwa katika ibara ya 22 ya Katiba ya Simba Sports Club, 2018.

Aidha, kufuatia maelekezo ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Moja wapo ya Agenda itakayojadiliwa na Mkutano Mkuu ni Mapendekezo ya Marekebisho ya Katiba ya Simba Sports Club.

Kwa Muktadha huo, Bodi imeunda kamati maalum ya kuratibu Mchakato mzima wa Marekebisho ya Katiba kwa mujibu wa Mapendekezo ya BMT na Maoni ya Wanachama.

SIMBA Yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024,Mkutano Mkuu wa Simba SC na Waandishi,Simba yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024,Simba yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka, Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024.

SIMBA Yaitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024

Kamati hiyo inaundwa na Wanachama Wafuatao.

1.Wakili. Hussein Kitta Mlinga- Mwenyekiti
2.Wakili. Aziza Omary Msangi- Makamu Mwenyekiti
3.Ndg. Ustadhi Masoud- Mjumbe
4.Ndg. Zulfika Chandoo – Mjumbe
5.Wakili. Moses Stewart Kaluwa – Mjumbe
6.Ndg. Hamis Mkomwa – Mjumbe
7.Ndg. Mohamed Khamis Soloka – Mjumbe

Bodi inawaalika wanachama wenye mapendekezo zaidi wawasilishe mapendekezo yao kuhusu Marekebisho ya Katiba katika ofisi za Sekretarieti au kupitia barua pepe [email protected] kabla ya tarehe 30 Decemba, 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel