MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Simba Yaitisha Mkutano Mkuu

Filed in Michezo by on 19/10/2021 0 Comments

KLABU ya Simba SC, imeitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka utakaofanyika November 21, mwaka huu kwenye vukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Klabu hiyo, imesema kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 21(1) ya Katiba ya Simba Sports Club inapenda kutoa taarifa kwa Wanachama wake wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa mwaka wa Klabu hiyo.

Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa tatu kamili asubuhi (9:00) na ajenda za mkutano zitasambazwa kwa wanachama siku saba kabla kupitia anuani za matawi yao kwa mujibu wa Ibara ya 21(2) ya Katiba ya Klabu hiyo.

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel