MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


SIMBA yamalizana na Clatous Chama

Filed in Michezo, Usajili by on 17/07/2023 0 Comments

SIMBA yamalizana na Clatous Chama

SIMBA yamalizana na Clatous Chama

SIMBA yamalizana na Clatous Chama

SIMBA yamalizana na Clatous Chama, Uongozi wa klabu ya Simba SC umefikia makubaliano ya kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja Kiungo wao Mshambuliaji, Clatous Chama ambao utamfanya aendelee kuitumikia Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Msimbazi hadi Julai 2025.

Baada ya Makubaliano hayo ya pande zote mbili, Clatous Chama anatajiwa kuondoka nchini muda wowote kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/2024.

SIMBA yamalizana na Clatous Chama

Clatous Chama Simba SC

Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma ambaye mchakato wa kupata vibali vya kuingia Uturuki unaendelea vizuri.

Wachezaji hao wakifika Uturuki itakuwa wachezaji wote waliosajiliwa na Simba kwaajili ya msimu ujao wa 2023/2023 watakuwa wamekamilika ukichana na wale ambao hawajawatangazwa.

SIMBA yamalizana na Clatous Chama

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel