MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango

Filed in Michezo, Usajili by on 09/07/2023 0 Comments

SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango

SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango

SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango

SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango, Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo mlinzi wa kati Joash Onyango kwenda Singida Fountain Gate FC hadi mwisho wa msimu 2023 – 2024.

Beki huyo kisiki kutoka Kenya amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Simba Sports Club.

SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash OnyangoUongozi wa Simba Sports Club unamshukuru sana Joash Onyango kwa mchango wake mkubwa kwenye mafanikio ya Klabu hiyo.

Uongozi wa Simba Sports Club pua umemtakia kila la kheri Joash Ochieng Onyango kwenye majukumu yake mapya.SIMBA yamtoa kwa mkopo Joash Onyango

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel