MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

Filed in Michezo, New, Usajili by on 01/07/2023 0 Comments

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo, Klabu ya Simba imeachana na kiungo wake, wa Burkina Faso, Hamed Ismael Sawadogo baada ya miezi sita tangu asajiliwe Simba kutoka Difaâ El Jadida ya Morocco.

Taarifa iliyotelewa na Simba Kupitia Mitandao ya Kijamii leo Jumamosi July 01,2023 imesema kuwa; Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na kiungo mkabaji Ismael Sawadogo.

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

SMBA yaachana na Ismael Sawadogo

Hamed Ismael Sawadogo anakuwa mchezaji wa tisa kuachwa Simba baada ya Beno Kakolanya, Gardiel Michael, Mohamed Ouattara, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Nelson Okwa, Víctor Akpan na Augustine Okrah.

Simba pia imeachana na makocha wake wawili Kelvin Mandla Ndlomo na Fareed Cassiem, wote raia wa Afrika Kusini na kocha wa makipa, Zakaria Chlouha na kocha wake wa timu yake ya wanawake, Mganda Charles Lukula.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel