MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023

Filed in Michezo, New, Usajili by on 11/07/2023 0 Comments

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Bbc swahili michezo leo,Tetesi za Usajili Tanzania,Habari za man UNITED za leo,Usajili ulaya man united, Bbc tetesi za usajili,Bbc tetesi za usajili leo July 11 2023,Bbc tetesi za usajili Leo,Tetesi za usajili barani Ulaya leo Jumatatu, Tetesi za usajili ulaya, Usajili ulaya man City,Usajili ulaya Chelsea, Usajili ulaya Arsenal,Usajili ulaya PSG, Usajili ulaya Buryen Munich, Usajili ulaya Madrd,Usajili ulaya Tottenham.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Bbc swahili michezo leo.

Klabu ya Manchester United imeweka thamani inayotakiwa ya £50m kwa klabu inayotaka kumnunua beki wa England, Harry Maguire mwenye umri wa miaka 30. (Manchester Evening News)

Klabu ya West Ham inatumai kumnunua kiungo wa kati wa England, James Ward-Prowse mwenye umri wa miaka 28, kwa ada ya £20m lakini Southampton wanataka karibu £40m kwaajili ya nahodha wao huyo (Mail)

Klabu ya Wolves inakaribia kumsajili tena beki wa pembeni wa Jamhuri ya Ireland, Matt Doherty mwenye umri wa miaka 31, baada ya kuondoka Atletico Madrid. (TeamTalk)

Uhamisho wa kipa wa Cameroon, Andre Onana wa pauni milioni 43 kutoka Inter Milan kwenda Manchester United uko katika hatua za mwisho na utakamilika wiki hii baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kukubaliana maslahi binafsi. (Mail)

Kiungo wa Kati wa Uholanzi, Donny van de Beek anaweza kuondoka Manchester United msimu huu wa joto huku vilabu vya Nottingham Forest, Wolves na Crystal Palace vikiitaji saini ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26. (90Min)

Klabu ya Tottenham Hotspur ina uhakika wa kumsajili beki wa Wolfsburg na Uholanzi, Micky van de Ven mwenye umri wa miaka 22, ambaye thamani yake ni pauni milioni 25. (Mirror)

Klabu ya Everton imefanya uchunguzi kuhusu kumsajili mlinda mlango wa zamani wa Manchester United, Tom Heaton mwenye umri wa miaka 37. (Mirror)

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne tarehe 11 July 2023,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Bbc swahili michezo leo,Tetesi za Usajili Tanzania,Habari za man UNITED za leo,Usajili ulaya man united, Bbc tetesi za usajili,Bbc tetesi za usajili leo July 11 2023,Bbc tetesi za usajili Leo,Tetesi za usajili barani Ulaya leo Jumatatu, Tetesi za usajili ulaya, Usajili ulaya man City,Usajili ulaya Chelsea, Usajili ulaya Arsenal,Usajili ulaya PSG, Usajili ulaya Buryen Munich, Usajili ulaya Madrd,Usajili ulaya Tottenham.Mshambulizi wa Montpellier na Ufaransa, Elye Wahi mwenye umri wa miaka 20, na mshambuliaji wa Juventus raia wa Serbia, Dusan Vlahovic mwenye umri wa miaka 23, ni miongoni mwa wachezaji wanaosakwa na Chelsea. (Evening Standard)

Beki wa kati wa Torino na Uholanzi, Perr Schuurs mwenye umri wa miaka 23, anafukuziwa na Liverpool huku kocha Jurgen Klopp akijaribu kuimarisha safu yake ya ulinzi bila kutumia ada kubwa. (Football Insider)

Klabu ya Newcastle United inaweza kumuuza winga wake raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26, Allan Saint-Maximin – ambaye anasakwa na baadhi ya vilabu vya Saudia – kusaidia kupata fedha za kumnunu Muingereza wa Leicester City Harvey Barnes, 25. (Telegraph).

Klabu ya Leicester City ina nia ya kumsajili mshambuliaji Muingereza Stephy Mavididi mwenye umri wa miaka 25, kutoka Montpellier. (Fabrizio Romano)

Klabu ya Inter Milan inajiandaa kuongeza dau lao la kumnunua Mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 30, kutoka kwa ofa yao ya awali ya pauni milioni 23 – lakini The Blues wanataka pauni milioni 40. (Times)

Klabu ya Al-Hilal imeifahamisha Manchester City, kuwa iko tayari kulipa pauni milioni 60 kumnunua kiungo wa kati wa Ureno Bernardo Silva. (CBS Sports)

Beki wa kulia wa Uingereza Reece James mwenye umri wa miaka 23, anataka kuwa nahodha mpya wa Chelsea – licha ya kutakiwa Real Madrid. (Podcast via Mirror)

Klabu ya Sheffield Wednesday iko kwenye mazungumzo na Mshambuliaji wa Uingereza, Troy Deeney mwenye umri wa miaka 35 kuhusu nafasi ya kocha mchezaji. (Mail)

Kiungo wa kati wa Serbia Sergej Milinkovic-Savic mwenye umri wa miaka 28 atajiunga na Al-Hilal ya Saudi Arabia kutoka Lazio kwa uhamisho wa thamani ya £34m. (Gola)

Klabu ya Paris St-Germain sasa inaongoza mbio za kumnasa mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt na Ufaransa Randal Kolo Muani mwenye umri wa miaka 24. (Independent).

Tetesi za Usajili Tanzania,Habari za man UNITED za leo,Usajili ulaya man united, Bbc tetesi za usajili,Bbc tetesi za usajili leo July 11 2023,Bbc tetesi za usajili Leo,Tetesi za usajili barani Ulaya leo Jumatatu, Tetesi za usajili ulaya, Usajili ulaya man City,Usajili ulaya Chelsea, Usajili ulaya Arsenal,Usajili ulaya PSG, Usajili ulaya Buryen Munich, Usajili ulaya Madrd,Usajili ulaya Tottenham.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel