MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


TETESI Za Usajili NBC Premier League 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 10/01/2024 0 Comments

TETESI Za Usajili NBC Premier League 2023/2024

TETESI Za Usajili NBC Premier League 2023/2024,Tetesi za usajili nbc premier league 2023 2024 live, tetesi za usajili tanzania 2023/2024, tetesi za usajili tanzania 2023/24, tetesi za usajili yanga 2023/24, Tetesi za usajili ulaya dirisha la usajili 2023/2024, tetesi za usajili yanga 2023/24, tetesi za usajili ulaya leo 2023, tetesi za usajili simba 2023/2024.

TETESI Za Usajili NBC Premier League 2023/2024

TETESI Za Usajili NBC Premier League 2023/2024,Tetesi za usajili nbc premier league 2023 2024 live, tetesi za usajili tanzania 2023/2024, tetesi za usajili tanzania 2023/24, tetesi za usajili yanga 2023/24, Tetesi za usajili ulaya dirisha la usajili 2023/2024, tetesi za usajili yanga 2023/24, tetesi za usajili ulaya leo 2023, tetesi za usajili simba 2023/2024.

Glody Kilangalanga Yanga SC

Glody Kilangalanga Yanga SC

Klabu ya Yanga imetajwa kuanza Mazungumzo na Mshambuliaji, Glody Kilangala mwenye umri wa miaka 23 raia wa DR Congo Kutoka Bisha FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchin Saudi Arabia.

Babacar Sarr Simba SC

Babacar Sarr Simba SC

Klabu ya Simba imetajwa kukamilisha usajili wa kiungo Mkabaji wa zamani wa Klabu ya US Monastir, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26 ambaye hana timu tangu Novemba 2023.

Jean Jospin Engola Simba SC

Jean Jospin Engola Simba SC

Klabu ya Simba imeendelea kuimarisha Kikosi chao na Sasa inatajwa kukamilisha Mazungumzo ya Kumsajili beki wa zamani wa La Galaxy II ya Marekani, Jean Jospin Engola mwenye umri wa 26 raia wa Cameroon ili kuhakikisha wanafanya vizuri katika Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.

Michael Charamba Simba SC

Michael Charamba Simba SC

Klabu ya Simba inatajwa kuwa ipo Katika hatua za mwisho kukamilisha usajili Mchezaji kiraka, Michael Charamba mwenye umri wa miaka 27 kutoka Chicken Inn ya kwao Zimbabwe.

Usajili wa Charamba anayemudu kucheza kama straika, kiungo Mshambuliaji, Mshambuliaji namba mbili na winga wa kulia unakuwa wa kwanza wa kigeni kwa Simba kwenye dirisha dogo.

Awali Simba imemtambulisha Saleh Masoud Karabaka kutoka JKU, huku ikielezwa kuwa tayari imemalizana na Ladeck Chasambi kutoka Mtibwa Sugar na Edwin Balua kutoka TZ Prisons.

Basiala Agee Amongo Yanga

Basiala Agee Amongo Yanga

KLABU ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa winga, Basiala Agee Amongo raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 25 kutoka Union Maniema.

Mauricio Cortés Armero Simba SC

Mauricio Cortés Armero Simba SC

Klabu ya Simba SC inatajwa kuiwania saini ya winga wa kushoto, Mauricio Cortés Armero mzaliwa wa Medellín, Colombia mwenye umri wa miaka 26 kutoka Comerciantes FC ya Peru.

Ibrahim Imoro Simba SC

Ibrahim Imoro Simba SC

Klabu ya Simba inatajwa kuiwania Saini ya beki wa Kushoto, Ibrahim Imoro raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 24 kutoka Al Hilal ya Sudan.

Hernest Briyock Malonga Simba SC

Hernest Briyock Malonga Simba SC

Simba pia inatajwa kuiwania saini ya beki mwingine, Hernest Briyock Malonga raia wa Congo Brazaville kutoka klabu ya Diables Noirs Brazzaville.

Augustine Okrah Yanga SC

Augustine Okrah Yanga SC

Klabu ya Yanga inatajwa kuwa katika hatua za mwisho Kumsajili, Kiungo Augustine Okrah mwenye umri wa miaka 30 kutoka Bechem ya kwao Ghana kwa ada ya uhamisho wa USD 150,000.

Franklin Navarro Azam FC

Franklin Navarro Azam FC

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Franklin Navarro mwenye umri wa miaka 24 kutoka Cortuluá FC inayoshiriki Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.

Mecky Maxime Ihefu SC

Mecky Maxime Ihefu SC

Klabu ya Ihefu SC ya Ubaruku, Mbarali Mkoani Mbeya imekamilisha usajili wa Kocha Mecky Maxime.

Maxime ametua Ihefu akitokea Kagera Sugar baada ya kuachana na wakata miwa hao wa Misenyi kutokana na mwenendo mbaya wa timu kwenye Ligi Kuu ya NBC 2023/2024.

Mohamed Mustafa Azam FC

Mohamed Mustafa Azam FC

Klabu ya Azam FC imekamilisha Usajili wa golikipa Mohamed Mustafa mwenye umri wa miaka 27 kutoka Al Ahli Club alipokuwa Kwa Mkopo kutoka El Merrikh ya kwao Sudan.

Shiza Ramadhani Kichuya JKT Tanzania FC

Shiza Ramadhani Kichuya JKT Tanzania FC

Mchezo wa Zamani wa Simba Sc na Mtibwa Sugar, Shiza Ramadhani Kichuya ameachana na Klabu yake Namungo Fc ya Luangwa Lindi an anatajwa kuwindwa na JKT Tanzania inayonolewa na Kocha, Malale Hamsimi.

Klabu ya KVZ ya Zanzibar imekamilisha usajili wa mchezaji, Gabi Joseph kutoka Azam Fc.

Balama Mapinduzi Mashujaa FC

Balama Mapinduzi Mashujaa FC

Klabu ya Mashujaa FC inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imekamilisha usajili wa Wachezaji, Balama Mapinduzi, Makame Bui, Ali Ali wakiwa wachezaji huru, huku usajili mwingine ukiwa ni wa Mtumbuka kutoka Stand United inayoshiriki Championship.

Klabu ya Azam Fc imefikia makubaliano ya kumsajili nyota wa zamani wa Namungo , Reliants Lusajo ambaye kwasasa ni mchezaji huru.

Emanuel Mtumbuka Mashujaa FC

Emanuel Mtumbuka Mashujaa FC

Klabu ya Mashujaa Fc imekamilisha usàjili wa Mshambuliaji, Emanuel Mtumbuka kutoka Stand United inayoshiriki Championship.

Eric Mbangossoum Simba SCKlabu ya Simba imeanza rasmi Mazungumzo na Kiungo Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 24 raia wa Chad kutoka Union Touarga ya Morocco.

Ladaki Juma Chasambi Simba SCPia Klabu hiyo inahusishwa na Mchezaji Ladaki Juma Chasambi mwenye umri wa miaka 19 kutoka Mtibwa Sugar FC.

Cesar Lobi Manzoki Simba SCKlabu ya Simba inatajwa tena kuiwania Saini Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki mwenye umri wa 27 kutoka Dalian Pro ya China pamoja na Victor Adebayor mwenye umri wa 27 pia kutoka Amazulu ya South Africa.Victor Adebayor Simba SC

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili winga wa kushoto, raia wa Nigeria Jonathan Alawuku mwenye umri wa miaka 20.


Shekhan Ibrahim Young AfricansUongozi wa Klabu ya Young Africans umekamilisha Usajili wa kiungo, Shekhan Ibrahim mwenye umri wa miaka 19 kutoka JKU ya Zanzibar.

Jonathan Sowah Young AfricansKlabu ya Young Africans imetajwa kuiwania Saini ya Mshambuliaji hatari wa Medeama SC, Jonathan Sowah raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 24.

Manu Labota Bola Young AfricansPia Young Africans inatajwa kuiwania saini ya winga Manu Labota Bola mwenye umri wa miaka 23 kutoka FC Lupopo ya kwao DR Congo.

Mika Miche Simba Sc, aMika Miche Yanga SC.Klabu za Simba na Yanga zipo kwenye vita ya kumwania kiungo, Mika Miche mwenye umri wa miaka 27 mzaliwa wa Kinshasa, Zaire kutoka Saint Eloi Lupopo ya kwao DR Congo.

Klabu ya Dodoma Jiji imemtambulisha kocha wake mpya Francis Baraza.

Inaelezwa kuwa Klabu ya Yanga imeanza mchakato upya wa kuinasa saini ya Kiungo Mshambuliaji, Sankara Karamoko mwenye umri wa miaka 20 kutoka ASEC Mimosas, licha ya kuwepo na taarifa za kuwindwa na SK Sturm Graz ya Austria.Sankara William Karamoko Yanga SC

Klabu ya Geita Gold imefikia makubaliano ya kuachana na wachezaji wake watatu ambao ni Eric Johora, Sebusebu Samson pamoja na kiungo Tariq Simba.

Klabu ya JKT Tanzania ipo kwenye Mazungumzo na klabu ya Moroka Swallows ya Afrika Kusini kwaajili ya usajili wa Ally Msengi kwa mkopo, ambaye Kwa sasa anafanya mazoezi Klabu hiyo.

Klabu ya Geita Gold imekamilisha usajili wa Eric Mwijage akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na klabu ya Western Armenia siku chache zilizopita.

Mshambuliaji na Kinara wa mabao wa Mbeya Kwanza, Ramadhani Kapera amejiunga na Geita Gold Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya JKT Tanzania ipo kwenye mazungumzo na David Richard Ulomi

Klabu ya Coastal Union ipo kwenye mazungumzo na mshambuliaji na Kinara wa mabao wa klabu ya Mbuni FC, Salim Aiyee

Klabu ya Geita Gold imeachana na kiungo wake Abeid Athumani pamoja na beki Carlos Protas.

Pia Geita Gold ipo kwenye Mazungumzo na kiungo wa Tanzania Prisons, Omary Omary.

Klabu ya Geita Gold imekamilisha usajili wa Mchezaji Ramadhani Kapera kutoka Mbeya Kwanza.

Klabu ya KVZ ya visiwani Zanzibar imekamilisha usàjili wa beki wa kati Salum Athuman kutoka Mbeya Kwanza Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

KVZ pia ipo kwenye mazungumzo na kiungo wa Mtibwa Sugar George Chotta Kwa mkopo wa mwaka mmoja.

Klabu ya As Kigari ya Rwanda ipo kwenye Mazungumzo na aliyekuwa golikipa wa Geita Gold Arakaza Marc Athur.

Klabu ya Ken Gold imefikia Makubaliano na Fredrick Magata Kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Mtibwa Sugar.

Makubaliano baina ya Ken Gold na mchezaji tayari yameshafikiwa, kinachosubiliwa ni makubaliano baina ya Ken Gold na Mtibwa Sugar.

Baada ya kuachana na Klabu ya Coastal Union, Mapinduzi Balama yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Mashujaa ya mkoani Kigoma.

Klabu ya Coastal imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Klabu ya Mbuni Fc, Salim Aiyee Kwa mkataba wa miaka 2.


Tetesi za usajili yanga 2023/2024,dirisha la usajili 2023/24, dirisha la usajili nbc 2023, mwisho wa usajili nbc premier
league, tetesi za usajili simba 2023/2024, Tetesi za usajili Tanzania Bara LEO 2023, dirisha la usajili 2023/24, Usajili NBC Premier League, Dirisha la usajili tanzania 2023, Dirisha la usajili nbc 2023, Dirisha Kubwa la Usajili 2023, Usajili Yanga Leo, Usajili Simba Leo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel