MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


TFF Yaufungia Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Filed in Michezo by on 22/12/2023 0 Comments

TFF Yaufungia Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

TFF Yaufungia Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

TFF Yaufungia Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

TFF Yaufungia Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Limeifungia Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kutokana na Mapungufu kadhaa.

Baada ya Uwanja huo Kufungiwa ni rasmi Simba SC itaanza kutumia Uwanja wa Azam Complex kama Uwanja wake wa nyumbani.

Aidha mechi ya Kwanza kwenye Uwanja za Azam Complex itakuwa ni dhidi ya KMC FC kesho Jumammosi December 23,2023 kuanzia saa 10:00 Jioni.

TFF imesema kuwa Sekretarieti ya Shirikisho hilo kwa kushauriana na Kamati ya Leseni za Klabu ya TFF ilifanya maamuzi ya kuhamisha Michezo ya Ligi inayochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ili kupisha Marekebisho kwenye Uwanja huo.

Aidha TFF imesema kwamba awali iliiomba Serikali kuendelea kutumia Uwanja huo kwa Michezo ya Ligi wakati Ukarabati ukiwa unaendelea.

Baada ya kushauriana imeonekana kuwa Michezo inayochezwa katika Uwanja huo ni vyema ikachezwa kwenye viwanja vingine mpaka ukarabati utakapokamilika.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel