MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024

Filed in Michezo by on 26/12/2023 0 Comments

Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024

Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024,Mapinduzi Cup 2023/2024, MAPINDUZI YA ZANZIBAR, Tanzania FA Cup table, Azam Federation Cup Winners, Mlandege Sports Club, Uongozi wa simba sports club, Mapinduzi cup live, Mapinduzi cup fixtures Mapinduzi Cup 2023 winner, Mapinduzi cup results, Mapinduzi cup winners, Mapinduzi Cup 2023-2024.

Mapinduzi Cup 2023/2024 Logo

Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024,Mapinduzi Cup 2023/2024, MAPINDUZI YA ZANZIBAR, Tanzania FA Cup table, Azam Federation Cup Winners, Mlandege Sports Club, Uongozi wa simba sports club, Mapinduzi cup live, Mapinduzi cup fixtures Mapinduzi Cup 2023 winner, Mapinduzi cup results, Mapinduzi cup winners, Mapinduzi Cup 2023-2024.

TIMU 12 kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki zinatarajiwa Kushiriki Mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanzia December 28, 2023 hadi Januari 13, 2024.

Akitoa taarifa ya kamati ya Kombe la Mapinduzi kwa Waandishi wa Habari, Makamu Mweyekiti wa Kamati ya Kombe hilo, Ndg: Suleiman Jabir amesema kuwa Maandalizi ya Kombe hilo tayari yamekamilika ambapo pazia la Mashindano hayo linatarajiwa kufunguliwa mwezi huu wa 12.

Suleiman Jabir amezitaja timu Zitakazoshiriki Michuano hiyo kuwa ni Pamoja na Mlandege FC, KVZ, Jamuhuri, JKU na Chipukizi zote za Zanzibar, kwa upande na timu ya Tanzania Bara zitakuwa ni Azam FC, Simba SC, Singida Fountain Gate FC na Yanga SC.

Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024,Mapinduzi Cup 2023/2024, MAPINDUZI YA ZANZIBAR, Tanzania FA Cup table, Azam Federation Cup Winners, Mlandege Sports Club, Uongozi wa simba sports club, Mapinduzi cup live, Mapinduzi cup fixtures Mapinduzi Cup 2023 winner, Mapinduzi cup results, Mapinduzi cup winners, Mapinduzi Cup 2023-2024.

Timu 12 Kushiriki Mapinduzi Cup 2023/2024

Aidha katika kuendeleza Ujirani Mwema wa Kimichezo Suleiman Jabir amesema kuwa wamezialika Timu ya URA kutoka Uganda, Jamus FC kutoka Sudan Kusini na APR ya Rwanda.

Na ameongeza kuwa mashindano hayo yatachezwa katika Uwanja wa Amani, hivyo wananchi watarajie michuano yenye mvuto kulingana na ubora wa uwanja huo, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023/2023.

Bingwa Mtetezi wa Michuano hiyo ni Mlandege iliyotwaa Ubingwa huo baada ya kushinda magoli 2 -1 dhidi ya Singida Big Stars, ikiwa wote ilikuwa Fainali yao ya kwanza ya kombe hilo mwaka 2022 ambalo ni maalumu kwaajili ya kuazimisha Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Januari 12, 1964.

Kuhusu vigezo walivyovitumia amesema kiwa kwa timu za Zanzibar ni kufanya droo na hawakuzingatia timu ambazo zipo nafasi ya juu kwenye Msimamo wa Ligi hiyo ambayo ipo kwenye mzunguko wa 14 mpaka sasa.

Lakini pia Michuano hiyo itachezwa kwa hatua ya Makundi ambapo kila kundi litakuwa na timu nne, ukiachana na mchezo huo wa soka pia kutakuwa na Mashindano Mbalimbali kama vile Resi za Ngalawa, Riadha na Makachu.


Mapinduzi Cup ni mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar. Mapinduzi Cup ni mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya kwanza mwaka wa 1998 ambapo Bingwa alikuwa Jamhuri FC. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya Zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu mwala 2013 Vilabu kutoka Kenya na Uganda na Rwanda hualikwa kushiriki mara kwa mara.

Champions

Year Winners Results Runner-ups Ref.
1998
Jamhuri
2 – 1
Shangani SC
2001
Polisi SC
2002
KMKM
2004
Young Africans SC
2 – 1
Mtibwa Sugar
2005
Mafunzo FC
2 – 0
JKU SC
2006
not held
2007
Malindi SC
2 – 0
Miembeni SC
2008
Miembeni SC
2 – 1
Polisi SC
2009
not held
2010
Mtibwa Sugar
1 – 0
Ocean View FC
2011
Simba SC
2 – 0
Young Africans SC
2012
Azam FC
3 – 1
Jamhuri
2013
Azam FC
2 – 1
Tusker FC
2014
Kampala City Council
1 – 0
Simba SC
2015
Simba SC
0 – 0 (4–3 pen.)
Mtibwa Sugar
2016
Uganda Revenue Authority
3 – 1
Mtibwa Sugar
2017
Azam FC
1 – 0
Simba SC
2018
Azam FC
0 – 0 (4–3 pen.)
Uganda Revenue Authority
2019
Azam FC
2– 1
Simba SC
2020
Mtibwa Sugar
1–0
Simba SC
2021
Young Africans
0–0 (4–3 pen.)
Simba SC
2022
Simba SC
1 – 0
Azam FC
2023
Mlandege FC
2 – 1
Singida Big Stars

Winner by club

Club Number Years
Azam FC
5
2012, 2013, 2017, 2018, 2019
Simba SC
3
2011, 2015, 2022
Mtibwa Sugar
2
2010, 2020
Young Africans SC
2
2004, 2021
Jamhuri
1
1998
Polisi SC
1
2001
KMKM
1
2002
Mafunzo FC
1
2005
Malindi SC
1
2007
Miembeni SC
1
2008
Kampala City Council
1
2014
Uganda Revenue Authority
1
2016
Mlandege FC
1
2023

 

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel