MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


USAJILI Prince Dube atajwa Yanga

Filed in Michezo, Usajili by on 06/03/2024 0 Comments

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga, Prince Dube kutua Yanga, Yanga kumsajili Prince Dube, Dube kutua Yanga, Usajili wa Prince Dube kwenda Yanga.

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga, Prince Dube kutua Yanga, Yanga kumsajili Prince Dube, Dube kutua Yanga, Usajili wa Prince Dube kwenda Yanga.

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea Barua kutoka kwa Mshambuliaji wake, Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia waoka mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.

Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026.

Hivyo sasa amebakisha miaka miwili na nusu mkataba wake kufikia ukomo.

Azam FC imemjibu Dube mwenye umri wa miaka 27 kwamba kama anataka kuondoka kama ambavyo amewasilisha ombi lake, klabu haina kipingamizi chochote na imemruhusu kuondoka lakini matakwa ya mkataba yanatakiwa kutekelezwa.

Kwenye kipengele cha mkataba wake ili kuvunja/kuununua mkataba wake uliobaki mpaka 2026 Dube anatakiwa kutoa dolla 300,000 (Milioni 765 za Kitanzania).

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga, Prince Dube kutua Yanga, Yanga kumsajili Prince Dube, Dube kutua Yanga, Usajili wa Prince Dube kwenda Yanga.Aidha Klabu ya Yanga imetajwa kuhiitaji sana huduma ya Mshambuliaji huyo na wanaamini anaweza kuwa mtu sahihi wa kuziba nafasi ya Fiston Mayele.

Inaaminika kwamba Yanga wamekuwa wakihangaika kumshawishi mchezaji huyo kwa muda mrefu kutua katika kikosi hicho kutokana na uwezo wake.

Hivi karibuni wakati Azam FC ikiwa mikoani kwa mechi za Ligi Kuu, Dube alionekana kwenye Uwanja wa Mkapa akishuhudia mechi ya Yanga ambapo ilishinda mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad.
Habari za ndani ni zinadai kuwa kuna mfanyakazi wa Yanga ambaye hapo awali alikuwa Azam ndiye anayechora ramani ya Dube kuhamia Yanga na klabu hiyo ina uhakika kwamba ishu itakwenda kirahisi kwani staa huyo ameshaanza ‘kuingia kwenye mfumo’ na hadi sasa ametuma barua rasmi ya kuvunja mkataba.

USAJILI Prince Dube atajwa Yanga

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel