MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


USAJILI Uliokamilika Dirisha Dogo la Usajili 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 18/01/2024 0 Comments

USAJILI Uliokamilika Dirisha Dogo la Usajili 2023/2024

USAJILI Uliokamilika Dirisha Dogo la Usajili 2023/2024, Usajili Uliokamilika Dirisha Dogo la Usajili NBC Premier League 2023/2024,Usajili Uliokamilika Simba 2024/2024,Usajili Uliokamilika Yanga 2023/2024,usajili Uliokamilika Ligi ya NBC 2023/2024.

Beki, Samson Madeleka amejiunga na Mashujaa FC akitokea Mbeya City FC ya Mbeya.

Mshambuliaji, Ramadhani Kapera amejiunga na Geita Gold FC ya Mkoani Geita.

Beki wa pembani wa Zamani wa vilabu vya Ruvu Shooting na Mbeya City, Mpoki Mwakinyuke amejiunga na Mashujaa Fc akitokea Ihefu SC.

Beki wa pembani wa Singida Fountain Gate, Gadiel Michael ‘Kamagi’ amejiunga na klabu ya Cape Town yaAfrica Kusini Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya Simba 2024,CV ya Edwin Balua Mchezaji Mpya wa Simba 2024, Mfahamu Edwin Balua Mchezaji wa Simba SC, Historia ya Edwin Balua, CV ya Edwin Balua, Historia ya Edwin Balua, Umri Wa Edwin Balua Simba, Timu alizowahi kuchezea Edwin Balua.Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa Winga, Edwin Balua kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya.

Klabu ya Mtibwa Sugar imekamilisha usajili wa Wachezaji, Charles Ilanfya pamoja na Shabani Masala wote kutoka Ihefu SC.

Feisal Mkoko amejiunga na Tanzania Prisons akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Abdullaziz Makame “BUI” amejiunga na klabu ya KVZ FC ya kwao Zanzibar Kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya Tanzania  Prisons imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Biashara United, Tariq Simba akitokea Geita Gold.

Klabu ya Ihefu SC imekamilisha usàjili wa Kiungo Mkabaji Amade Momade raia wa msumbiji

Usajili Uliokamilika wa Klabu ya Mbeya City

  • Paulo Ngelema
  • Erick Mlilo
  • Anderson

Usajili Uliokamilika wa Klabu ya Mashujaa FC

  • Mpoki mwakinyuke
  • Samson Madeleke

Nassor Kapama amejiunga na Mtibwa Sugar akitokea Simba SC.

Klabu ya Namungo FC imekamilisha usajili wa Mchezaji wa Zamani wa Coast Union na Mbeya City, Ayoub Semtawa.

Joseph Guede Gnadou Yanga SC.

Joseph Guede Gnadou Yanga SC.

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Joseph Guede Gnadou raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 29 kutoka Tuzlaspor ya Uturuki.

Freddy Michael Kouablan Simba SC

Freddy Michael Kouablan Simba SC

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Freddy Michael Kouablan kutoka Green Eagles ya Zambia.

Beki wa zamani wa vilabu vya Maji maji, Mbeya City, Ruvu shooting Mpoki Mwakinyuke amejiunga rasmi na klabu ya Mashujaa Fc akitokea Ihefu SC.

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Meddie Kagere amejiunga na Namungo FC Kutoka Singida Fountain Gate FC.

Klabu ya Dodoma Jiji imefanikiwa kumrejesha Mshambuliaji wake wa zamani, Anuary Jabil kutoka Kagera Sugar FC.

Jimmyson Mwanuke amejiunga na Mtibwa Sugar Kwa mkopo wa miezi 6 akitokea Simba Sc.

Baada ya kuachwa na JKT Tanzania, beki wa kati Aman Kyata amejiunga na klabu ya Mbeya kwanza inayoshiriki Championship.

Klabu ya JKT Tanzania imekamilisha usàjili wa Wachezaji wawili, Mshambuliaji na nahodha Gamba Matiko, pamoja na Golikipa Yakub Suleiman wote kutoka JKU ya visiwani Zanzibar.

Klabu ya Kagera Sugar imekamilisha usàjili wa kiungo, Geofrey Manyasi akitokea Ihefu SC.

CV ya Pa Omar Jobe Mchezaji Mpya Simba 2024, CV ya Pa Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Mfahamu Pa Omar Jobe Mchezaji wa Simba SC, Historia ya Pa Omar Jobe, CV ya Pa Omar Jobe, Historia ya Pa Omar Jobe, Umri Wa Pa Omar Jobe Simba, Timu alizowahi kuchezea Pa Omar Jobe.

CV ya Pa Omar Jobe Mchezaji Mpya Simba 2024

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Pa Omar Jobe mwenye umri wa miaka 25 kutoka FC Zhenis ya Kazakhstan Kwa mkataba wa miaka miwili.

Klabu ya KMC imekamilisha usàjili wa, Akram Mhina Omary “Halaand” kutoka KVZ ya Zanzibar.

Klabu ya Dodoma Jiji imekamilisha usàjili wa beki wa kati, Robinson Kamura ambaye amewahi kuvichezea vilabu vya Fc Leopard, Kakamega Homeboys.

Klabu ya Mashujaa Fc imekamilisha usàjili wa winga wa zamani wa vilabu vya Ruvu Shooting, Dodoma Jiji, Al Hilali ya Sudani na Moroka Swallows ya Africa Kusini, David Richard Ulomi.

Klabu ya Dodoma Jiji FC imekamilisha  usajili wa Kiungo, Apollo Otieno Onyango kutoka KCB Kenya.

Yeison David Fuentes Mendoza Azam FC

Yeison David Fuentes Mendoza Azam FC

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Beki, Yeison Fuentes mwenye umri wa miaka 21 kutoka Colombia kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Leones FC ya nchini kwao.

Klabu ya Mashujaa imekamilisha usajili wa beki wa kati wa zamani wa vilabu vya Coastal Union, Simba Sc na Mtibwa Sugar, Ibrahim Ame.

Kiungo wa zamani wa vilabu vya Biashara Utd, na Polisi Tz Tariq Simba amejiunga rasmi na klabu ya Tanzania Prisons Kama mchezaji buru baada ya kauchana na Geita Gold

kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Cryspin Ngushi Kwa Mkopo wa miezi 6 kutoka Yanga SC.

Klabu ya Tabora United ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Simba Sc, Ruvu Shooting na Geita Gold, Miraji Athumani “Sheva”.

Klabu ya Mashujaa FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Abraham Mussa.

Klabu ya Mashujaa Fc imekamilisha usàjili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Namungo Fc, Reliant Lusajo kama Mchezaji huru.

Klabu ya Biashara United imekamilisha usajili wa, Abeid Athumani kutoka Geita Gold FC kama Mchezaji huru.

Klabu ya KMC imekamilisha usàjili wa beki wa pembeni Abdallah Saidi Ali maarufu “Lanso” akitokea Mlandege

Beki huyo atajiunga na timu ya KMC baada ya mechi ya Fainali ya Mapinduzi Cup.

Babacar Sarr Simba Sc

Babacar Sarr Simba Sc

Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26 kutoka US Monastir kwa mkataba wa miaka miwili.

Ladaki Chasambi Simba SC

Ladaki Chasambi Simba SC

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa winga Ladaki Chasambi kutoka Mtibwa Sugar akisaini mkataba wa miaka mitatu.

Saleh Karabaka Simba SC

Saleh Karabaka Simba SC

Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu.

Augustine Okrah Yanga SC

Augustine Okrah Yanga SC

Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Mshambuliaji, Augustine Okrah mwenye umri wa miaka 30 kutoka Bechem ya kwao  Ghana.

Muhamed Mustafa Ahmed Azam FC

Muhamed Mustafa Ahmed Azam FC

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Kipa, Muhamed Mustafa Ahmed mwenye umri wa miaka 27 kwa mkopo wa miezi sita kutoka Al Ahli Club alipokuwa Kwa Mkopo kutoka El Merrikh ya kwao Sudan.

Mwinyi Zahera Namungo FC

Mwinyi Zahera Namungo FC

Klabu ya Namungo FC imekamilisha usajili wa Kocha wa Zamani wa Vilabu vya Polisi Tanzania, Coastal Union na Yanga SC, Mwinyi Zahera.

Franklin Navarro Azam FC

Franklin Navarro Azam FC

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Franklin Navarro mwenye umri wa miaka 24 kutoka Cortuluá FC inayoshiriki Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.

Mecky Maxime Ihefu SC

Mecky Maxime Ihefu SC

Klabu ya Ihefu SC ya Ubaruku, Mbarali Mkoani Mbeya imekamilisha usajili wa Kocha Mecky Maxime.

Maxime ametua Ihefu akitokea Kagera Sugar baada ya kuachana na wakata miwa hao wa Misenyi kutokana na mwenendo mbaya wa timu kwenye Ligi Kuu ya NBC 2023/2024.

Balama Mapinduzi Mashujaa FC

Balama Mapinduzi Mashujaa FCKlabu ya Mashujaa FC inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imekamilisha usajili wa Wachezaji, Balama Mapinduzi, Makame Bui, Ali Ali wakiwa wachezaji huru.

Emanuel Mtumbuka Mashujaa FC

Emanuel Mtumbuka Mashujaa FC

Klabu ya Mashujaa Fc imekamilisha usàjili wa Mshambuliaji, Emanuel Mtumbuka kutoka Stand United inayoshiriki Championship.

Shekhan Ibrahim Young AfricansKlabu ya Young Africans imekamilisha Usajili wa kiungo, Shekhan Ibrahim mwenye umri wa miaka 19 kutoka JKU ya Zanzibar.

Eric Mwijage Geita Gold FC

Eric Mwijage Geita Gold FC

Klabu ya Geita Gold imekamilisha usajili wa Eric Mwijage akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na klabu ya Western Armenia siku chache zilizopita.

Klabu ya Geita Gold imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Ramadhani Kapera kutoka Mbeya Kwanza.

Salim Aiyee Coastal Union FC

Salim Aiyee Coastal Union FC

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Klabu ya Mbuni Fc, Salim Aiyee Kwa mkataba wa miaka 2.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel