MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 29-2024

Filed in Michezo by on 21/03/2024 0 Comments

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 29-2024

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 2024, Viingilio vya Simba vs Al Ahly, Viingilio Simba vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio vya Simba SC vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio Simba vs Al Ahly, Simba yataja Viingilio vs Al Ahly Robo Fainali ya CAF Champions League 2024.

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 2024

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 29-2024, Viingilio vya Simba vs Al Ahly, Viingilio Simba vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio vya Simba SC vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio Simba vs Al Ahly, Simba yataja Viingilio vs Al Ahly Robo Fainali ya CAF Champions League 2024.

Klabu ya Simba imetangaza Viingilio vya Mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2023/2024) dhidi ya Al Ahly SC ya Misri.

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 2024, Viingilio vya Simba vs Al Ahly, Viingilio Simba vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio vya Simba SC vs Al Ahly March 29-2024, hivi hapa Viingilio Simba vs Al Ahly, Simba yataja Viingilio vs Al Ahly Robo Fainali ya CAF Champions League 2024.Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari, Meneja wa Habari na Mawasiliano Ahmed Ally amewataka Mashabiki wa Simba kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa ili kuhakikisha wanaumaliza mchezo hapa hapa Dar Es Salaam.

“Tumeweka Viingilio rafiki ili kuhakikisha kila Mwanasimba anapata nafasi ya kuja uwanjani kuiongezea hamasa timu yetu katika mchezo huu ambao ni lazima tupate ushindi”

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Ijumaa ya March 29-2024 kuanzia saa 3:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.

Ahmed amevitaja Viingilio hivo kuwa ni;

  • Tsh 5,000 Kwa Mzunguko
  • Tsh 10,000 kwa viti vya rangi ya Machungwa
  • Tsh 20,000 Kwa VIP C
  • Tsh 30,000 Kwa VIP B
  •  Tsh 40,000 Kwa VIP A
  •  Platinum  itakuwa Tsh 200,000 na Tanzanite  itakuwa Tsh 250,000.
Viingilio vya mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #TunaitakaNusuFainali #WenyeNchi #NguvuMoja

Viingilio vya mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #TunaitakaNusuFainali #WenyeNchi #NguvuMoja

“Tunakwenda kucheza mechi dhidi ya Al Ahly, lazima tuelezane ukweli kwamba hii ni mechi ngumu kweli kweli. Hii inakuwa robo fainali yetu ya tano mfululizo ya michuano ya CAF. Kwanza kama taasisi lazima tujivunie muendelezo wetu wa matokeo mazuri ndio maana tumefanikiwa kucheza robo fainali tano mfululizo”

“Sasa tumechoka robo Fainali, tunataka nusu Fainali. Hii ni zamu yetu kwenda Nusu Fainali. Iwe jua iwe mvua, iwe Ramadhani iwe Kwaresma tunaitaka nusu Fainali, hakuna mjadala mwingine”

“Hatuna option nyingine safari hii, option ni moja tu tunaitaka Nusu Fainali. Na hii ndio salamu yetu Wanasimba wiki hii, ukikutana na Mwanasimba mwenzako mwambie Tunaitaka Nusu Fainali. Slogan ni Tunaitaka Nusu Fainali. Tumeshaanguka sana sasa ni muda wetu kusimama”

“Mwaka huu Mnyama anakwenda Nusu Fainali lakini haiwezi kuwa nyepesi kama tunavyofikiria lazima kila mmoja akumbuke tunakwenda kucheza na Al Ahly. Huyu ni mpinzani mgumu, hatari. Lakini amekutana na Mnyama anayeitaka Nusu Fainali”

“Wapo wanaosema Al Ahly akifika kwenye hatua kama hizi huwa anabadilika na sisi tunasema Al Ahly akibadilika na sisi tunabadilika nae,” alisema Ahmed

Aidha unaweza Kufuatilia LIVE Matokeo ya moja kwa moja kati ya Simba SC vs Al Ahly SC Kupitia Nijuze Habari Kwa kubofya MATOKEO Simba vs Al Ahly March 29-2024 ifikapo Ijumaa ya March 29-2024 kuanzia saa 3:00 Usiku.

VIINGILIO Simba vs Al Ahly March 29-2024

Ni matokeo ya dakika baada ya dakika na takwimu za mechi hiyo, hata kusikiliza Matangazo ya moja kwa moja ya mchezo huo wa Robo Fainali ya Kwanza kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly.

Mteja atakyenunu tiketi ya Platinum atapatiwa huduma hizi kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #TunaitakaNusuFainali #WenyeNchi #NguvuMoja

Mteja atakyenunu tiketi ya Platinum atapatiwa huduma hizi kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #TunaitakaNusuFainali #WenyeNchi #NguvuMoja

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel