MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2

Filed in Michezo by on 28/02/2024 0 Comments

VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2

VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2,Tanzania ipo nafasi ya ngapi viwango vya fifa, Viwango vya fifa 2023/2024, Tanzania yapanda nafasi 2, Viwango vya fifa 2023/2024 tanzania yapanda nafasi 2.

VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2

VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2,Tanzania ipo nafasi ya ngapi viwango vya FIFA, Viwango vya fifa 2023/2024, Tanzania yapanda nafasi 2, Viwango vya fifa 2023/2024 tanzania yapanda nafasi 2.

MAJINA 284 ya Waliotwa Kazini Wizara ya Afya February 28-2024

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepanda kwa nafasi mbili kwenye viwango vya hivi karibuni vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na kushika nafasi ya 119.

Kabla ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON23) nchini Ivory Coast, nchi hiyo ilikuwa ikishika nafasi ya 121 lakini mwaka huu, taifa hilo limeimarika zaidi.

Barani Afrika, Tanzania inashikilia nafasi ya 30 huku majirani zake Kenya wakishika nafasi ya 26 Barani humo na ya 111 duniani.

Nafasi ya juu kabisa ya Tanzania ilikuwa ya 65 February mwaka 1995 huku nafasi ya chini kabisa ikiwa nafasi ya 175 iliyonyakuliwa October mwaka 2005.

Kupanda huku kumechangiwa na matokeo ya hivi karibuni ya Taifa Stars katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) zilizofanyika Abidjan, Ivory Coast, ambapo Tanzania ilishika nafasi ya nne Kundi F, kwa baada ya kujikusanyia pointi mbili.

VIWANGO vya FIFA 2023/2024 Tanzania yapanda nafasi 2,Tanzania ipo nafasi ya ngapi viwango vya fifa, Viwango vya fifa 2023/2024, Tanzania yapanda nafasi 2, Viwango vya fifa 2023/2024 tanzania yapanda nafasi 2.Tanzania ilicheza mechi tatu za fainali za Afcon, ikifungwa mabao 3-0 dhidi ya Morocco, ikitoka sare ya 1-1 dhidi ya Zambia sare tasa dhidi ya DR Congo.

Mechi hizo ndizo pekee zilizozingatiwa kati ya kiwango cha mwisho cha January na cha sasa.

Argentina inaongoza kwenye Viwanja vya FIFA vya Dunia ikiwa pointi 1,855.2, ikifuatiwa na Ufaransa yenye pointi 1,845.44, na Uingereza katika nafasi ya tatu kwa pointi 1,800.05.

Ubelgiji inashikilia nafasi ya nne kwa pointi 1,798.46, na Brazil inashika nafasi ya tano kwa pointi 1,784.09.

Barani Afrika, Morocco inashikilia nafasi ya kwanza kwa pointi 1,665.99, ikifuatiwa na Senegal katika nafasi ya pili kwa pointi 1,260.74,Nigeria inashika nafasi ya tatu kwa pointi 1,522.26, huku Misri ikishikilia nafasi ya nne kwa pointi 1,500.38.

Washindi wa AFCON, Ivory Coast wapo nafasi ya tano wakiwa na pointi 1,494.57, wakipanda nafasi 10 kutoka nafasi yao ya awali ya 49.

Katika ukanda wa Cecafa, Uganda inaongoza kwa pointi 1,246.88, ikishika nafasi ya 92 katika orodha hiyo, Kenya wao wanashika nafasi ya 111 kwa pointi 1,181.92, na Tanzania inashika nafasi ya tatu kwa pointi 1,160.98.

Sudan inashikilia nafasi ya 127 ikiwa na pointi 1,128.74, wakati Rwanda iko nafasi ya 133 (pointi 1,107.04), na Burundi inashika nafasi ya 140 (pointi 1,085.83).

Ethiopia iko katika nafasi ya 145 kwa pointi 1,068.79, Sudan Kusini katika nafasi ya 166 kwa pointi 989.29, Djibouti nafasi ya 192 kwa pointi 882.76, na Somalia katika nafasi ya 198 kwa pointi 845.66.

Viwango vya timu bora afrika, Viwango vya fifa 2024, Viwango vya fifa timu za taifa,Viwango vya fifa afrika, Viwango vya fifa vilabu, Viwango vya ubora CAF, Viwango vya fifa simba na yanga, Viwango Vya FIFA Duniani 2024, Viwango vya Vilabu Bora Afrika 2023-2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel