MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 17 December 2023

Filed in Habari by on 17/12/2023 0 Comments

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 17 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 17 December 2023,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumapili 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 17 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 17 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 17 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english.

CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumapili 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 17 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

BOT exchange rate USD to TZS today, BOT Exchange Rate today USD, List of Governors of Bank of Tanzania, Bank of Tanzania Address, Bank of Tanzania Scholarship, BOT exchange rate today, BOT Tanzania exchange rate, www.bot.go.tz vacancies, Bank of Tanzania Act, BOT branches in Tanzania Function of Bank of Tanzania (BOT), Bank of Tanzania Regulations.

Exchange Rates
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 679.3079 685.9515 682.6297 17-Dec-23
2 ATS 160.0756 161.494 160.7848 17-Dec-23
3 AUD 1672.5988 1689.8287 1681.2137 17-Dec-23
4 BEF 54.6033 55.0867 54.845 17-Dec-23
5 BIF 0.8722 0.8799 0.876 17-Dec-23
6 CAD 1863.9726 1882.4716 1873.2221 17-Dec-23
7 CHF 2880.2153 2907.3391 2893.7772 17-Dec-23
8 CNY 350.9749 354.3949 352.6849 17-Dec-23
9 DEM 999.541 1136.1894 1067.8652 17-Dec-23
10 DKK 366.1248 369.748 367.9364 17-Dec-23
11 ESP 13.2386 13.3554 13.297 17-Dec-23
12 EUR 2729.0426 2757.3408 2743.1917 17-Dec-23
13 FIM 370.4637 373.7465 372.1051 17-Dec-23
14 FRF 335.7996 338.77 337.2848 17-Dec-23
15 GBP 3179.3097 3212.1105 3195.7101 17-Dec-23
16 HKD 319.5975 322.7811 321.1893 17-Dec-23
17 INR 30.0429 30.3233 30.1831 17-Dec-23
18 ITL 1.1376 1.1477 1.1426 17-Dec-23
19 JPY 17.6045 17.7793 17.6919 17-Dec-23
20 KES 16.23 16.371 16.3005 17-Dec-23
21 KRW 1.9182 1.9366 1.9274 17-Dec-23
22 KWD 8115.5393 8194.0289 8154.7841 17-Dec-23
23 MWK 1.3769 1.4821 1.4295 17-Dec-23
24 MYR 534.3947 539.1611 536.7779 17-Dec-23
25 MZM 38.7233 39.0499 38.8866 17-Dec-23
26 NLG 999.541 1008.4051 1003.973 17-Dec-23
27 NOK 238.362 240.6744 239.5182 17-Dec-23
28 NZD 1549.8667 1565.6173 1557.742 17-Dec-23
29 PKR 8.5307 8.9407 8.7357 17-Dec-23
30 RWF 1.9782 2.027 2.0026 17-Dec-23
31 SAR 665.0195 671.5085 668.264 17-Dec-23
32 SDR 3277.4953 3310.2703 3293.8828 17-Dec-23
33 SEK 243.4329 245.8121 244.6225 17-Dec-23
34 SGD 1875.7458 1893.3644 1884.5551 17-Dec-23
35 UGX 0.6361 0.6674 0.6517 17-Dec-23
36 USD 2494.5544 2519.5 2507.0272 17-Dec-23
37 GOLD 5090886.7323 5145070.9497 5117978.841 17-Dec-23
38 ZAR 136.6542 137.9958 137.325 17-Dec-23
39 ZMW 97.373 101.1847 99.2788 17-Dec-23
40 ZWD 0.4668 0.4762 0.4715 17-Dec-23
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Jumapili tarehe 17 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumapili 17 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 17 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.


Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995. Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

Kabla ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania, historia ya masuala ya noti na sarafu nchini imegawanyika katika sehemu mbili: kabla ya kuanzishwa kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919; na baada ya kuanzishwa kwa bodi hiyo hadi mwezi Juni 1966 ilipoanzishwa Benki Kuu ya Tanzania.

Masuala ya noti na sarafu kabla ya mwaka 1919 yalikuwa yanaendeshwa tofauti upande wa Tanganyika na wa Zanzibar. Katika kipindi hicho, Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa Kijerumani, wakati Zanzibar ilikuwa na serikali yake (ya Waarabu). Sarafu iliyokuwa inatumika Tanganyika ni Rupia ya Kijerumani, ambayo ilitengenezwa kwa fedha, pamoja na sarafu nyingine iliyoitwa Heller ambayo ilikuwa moja ya mia ya Rupia. Fedha iliyokuwa ikitumika Zanzibar ni Rupia ya India. Pia, magamba (shells) na ng’ombe vilitumika katika kuhifadhi thamani na wakati mwingine kama fedha kwa ajili ya kununua na kuuza bidhaa na huduma.

Shughuli za kibenki hapa nchini zilianza mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Dar es Salaam. Benki hiyo ilipewa kibali na Serikali ya Ujerumani kuchapisha noti na kutengeneza sarafu kwa ajili ya matumiz nchinii. Kiwanda cha muda cha kutengeneza sarafu kilianzishwa Tabora. Mwaka 1911, benki nyingine ya Kijerumani iliyoitwa Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanganyika iliwekwa chini ya usimamizi wa Uingereza na kuanza kutumia mfumo wa fedha uliokuwa unatumika Kenya na Uganda:

(a) Kwa kuanzisha Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919, na

(b) Kwa kupiga mnada mali za benki za Kijerumani na kuruhusu benki za Kiingereza kufungua ofisi zake Tanganyika.

Kanuni za kikatiba, kazi na mamlaka ya bodi ya sarafu zilieleza kwamba EACB iliundwa ili kusimamia usambazaji wa noti na sarafu katika eneo lililokuwa chini ya utawala wa Waingereza katika Afrika Mashariki pamoja na maeneo mengine tegemezi katika ukanda huo, ambayo yangeweza kuongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza (Secretary of State), ili kuhakikisha kwamba kuna kiwango cha kutosha cha noti na sarafu.

Mwanzoni, EACB ilifanya kazi Tanganyika, Kenya na Uganda. Zanzibar ilijiunga na EACB mwaka 1936. Nchi zilizokuwa chini ya ukoloni zilijiunga na kujitoa katika bodi hiyo baada ya muda mfupi.

EACB ilikuwa na mamlaka ya kuchapisha noti na kutengeneza sarafu zake baada kuidhinishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, kwa ajili ya kusambazwa katika maeneo iliyokuwa inayahudumia. Kiwango cha kubadilisha fedha za EACB na paundi ya Uingereza kilipangwa na Waziri wa Mambo ya Nje. Thamani ya sarafu ya EACB ilikuwa inalindwa na paundi ya Uingereza. EACB ilihitimisha kazi zake mwaka 1966 wakati nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zilipoamua kuanzisha benki kuu zao.

Kufuatia uamuzi wa kuivunja Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki na kuanzishwa kwa Benki Kuu katika kila nchi za Tanzania, Kenya na Uganda; Bunge la Tanzania lilipitisha Sheria ya Benki Kuu Na. 12 ya mwaka 1965.

Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995.

Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel