MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 18 December 2023

Filed in Habari by on 21/12/2023 0 Comments

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 18 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Alhamisi tarehe 21 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Alhamisi 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 21 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 18 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 18 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english.

CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Alhamisi 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 21 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

BOT exchange rate USD to TZS today, BOT Exchange Rate today USD, List of Governors of Bank of Tanzania, Bank of Tanzania Address, Bank of Tanzania Scholarship, BOT exchange rate today, BOT Tanzania exchange rate, www.bot.go.tz vacancies, Bank of Tanzania Act, BOT branches in Tanzania Function of Bank of Tanzania (BOT), Bank of Tanzania Regulations.

Exchange Rates
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 678.7132 685.463 682.0881 21-Dec-23
2 ATS 159.9486 161.3658 160.6572 21-Dec-23
3 AUD 1684.7309 1702.0818 1693.4063 21-Dec-23
4 BEF 54.56 55.043 54.8015 21-Dec-23
5 BIF 0.8719 0.8787 0.8753 21-Dec-23
6 BWP 185.4475 187.8055 186.6265 21-Dec-23
7 CAD 1867.7964 1885.9091 1876.8527 21-Dec-23
8 CHF 2882.9219 2910.0682 2896.495 21-Dec-23
9 CNY 349.2223 352.6404 350.9314 21-Dec-23
10 CUC 103.8573 104.8958 104.3765 21-Dec-23
11 DEM 998.7475 1135.2875 1067.0175 21-Dec-23
12 DKK 365.5498 369.1728 367.3613 21-Dec-23
13 DZD 18.587 18.6906 18.6388 21-Dec-23
14 ESP 13.2281 13.3448 13.2865 21-Dec-23
15 EUR 2725.1314 2753.138 2739.1347 21-Dec-23
16 FIM 370.1696 373.4498 371.8097 21-Dec-23
17 FRF 335.533 338.501 337.017 21-Dec-23
18 GBP 3148.6198 3181.8683 3165.244 21-Dec-23
19 HKD 319.2865 322.4711 320.8788 21-Dec-23
20 INR 29.9581 30.2377 30.0979 21-Dec-23
21 IQD 1.9056 1.9218 1.9137 21-Dec-23
22 IRR 0.0593 0.0599 0.0596 21-Dec-23
23 ITL 1.1367 1.1468 1.1417 21-Dec-23
24 JPY 17.365 17.535 17.45 21-Dec-23
25 KES 16.1855 16.3262 16.2559 21-Dec-23
26 KRW 1.9138 1.9322 1.923 21-Dec-23
27 KWD 8100.1373 8178.4809 8139.3091 21-Dec-23
28 MWK 1.3758 1.4809 1.4284 21-Dec-23
29 MYR 535.3467 540.2361 537.7914 21-Dec-23
30 MZM 38.6926 39.0189 38.8557 21-Dec-23
31 NAD 136.0575 137.3806 136.7191 21-Dec-23
32 NGN 3.025 3.0478 3.0364 21-Dec-23
33 NLG 998.7475 1007.6046 1003.1761 21-Dec-23
34 NOK 241.8261 244.1686 242.9973 21-Dec-23
35 NZD 1565.3366 1581.997 1573.6668 21-Dec-23
36 PKR 8.3895 8.9036 8.6466 21-Dec-23
37 QAR 684.0215 690.6722 687.3468 21-Dec-23
38 RWF 1.9736 2.0221 1.9978 21-Dec-23
39 SAR 664.5093 671.0828 667.796 21-Dec-23
40 SDR 3274.8936 3307.6426 3291.2681 21-Dec-23
41 SEK 245.0716 247.4761 246.2738 21-Dec-23
42 SGD 1873.2709 1891.2929 1882.2819 21-Dec-23
43 TRY 85.5731 86.4051 85.9891 21-Dec-23
44 UGX 0.6372 0.6687 0.653 21-Dec-23
45 USD 2492.5743 2517.5 2505.0371 21-Dec-23
46 GOLD 5067403.4653 5122105.5 5094754.4827 21-Dec-23
47 ZAR 135.7153 137.0463 136.3808 21-Dec-23
48 ZMK 95.6596 99.4077 97.5337 21-Dec-23
49 ZWD 0.4664 0.4759 0.4712 21-Dec-23
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Alhamisi tarehe 21 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Alhamisi 21 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 21 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.


Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995. Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

Kabla ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania, historia ya masuala ya noti na sarafu nchini imegawanyika katika sehemu mbili: kabla ya kuanzishwa kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919; na baada ya kuanzishwa kwa bodi hiyo hadi mwezi Juni 1966 ilipoanzishwa Benki Kuu ya Tanzania.

Masuala ya noti na sarafu kabla ya mwaka 1919 yalikuwa yanaendeshwa tofauti upande wa Tanganyika na wa Zanzibar. Katika kipindi hicho, Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa Kijerumani, wakati Zanzibar ilikuwa na serikali yake (ya Waarabu). Sarafu iliyokuwa inatumika Tanganyika ni Rupia ya Kijerumani, ambayo ilitengenezwa kwa fedha, pamoja na sarafu nyingine iliyoitwa Heller ambayo ilikuwa moja ya mia ya Rupia. Fedha iliyokuwa ikitumika Zanzibar ni Rupia ya India. Pia, magamba (shells) na ng’ombe vilitumika katika kuhifadhi thamani na wakati mwingine kama fedha kwa ajili ya kununua na kuuza bidhaa na huduma.

Shughuli za kibenki hapa nchini zilianza mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Dar es Salaam. Benki hiyo ilipewa kibali na Serikali ya Ujerumani kuchapisha noti na kutengeneza sarafu kwa ajili ya matumiz nchinii. Kiwanda cha muda cha kutengeneza sarafu kilianzishwa Tabora. Mwaka 1911, benki nyingine ya Kijerumani iliyoitwa Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanganyika iliwekwa chini ya usimamizi wa Uingereza na kuanza kutumia mfumo wa fedha uliokuwa unatumika Kenya na Uganda:

(a) Kwa kuanzisha Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919, na

(b) Kwa kupiga mnada mali za benki za Kijerumani na kuruhusu benki za Kiingereza kufungua ofisi zake Tanganyika.

Kanuni za kikatiba, kazi na mamlaka ya bodi ya sarafu zilieleza kwamba EACB iliundwa ili kusimamia usambazaji wa noti na sarafu katika eneo lililokuwa chini ya utawala wa Waingereza katika Afrika Mashariki pamoja na maeneo mengine tegemezi katika ukanda huo, ambayo yangeweza kuongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza (Secretary of State), ili kuhakikisha kwamba kuna kiwango cha kutosha cha noti na sarafu.

Mwanzoni, EACB ilifanya kazi Tanganyika, Kenya na Uganda. Zanzibar ilijiunga na EACB mwaka 1936. Nchi zilizokuwa chini ya ukoloni zilijiunga na kujitoa katika bodi hiyo baada ya muda mfupi.

EACB ilikuwa na mamlaka ya kuchapisha noti na kutengeneza sarafu zake baada kuidhinishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, kwa ajili ya kusambazwa katika maeneo iliyokuwa inayahudumia. Kiwango cha kubadilisha fedha za EACB na paundi ya Uingereza kilipangwa na Waziri wa Mambo ya Nje. Thamani ya sarafu ya EACB ilikuwa inalindwa na paundi ya Uingereza. EACB ilihitimisha kazi zake mwaka 1966 wakati nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zilipoamua kuanzisha benki kuu zao.

Kufuatia uamuzi wa kuivunja Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki na kuanzishwa kwa Benki Kuu katika kila nchi za Tanzania, Kenya na Uganda; Bunge la Tanzania lilipitisha Sheria ya Benki Kuu Na. 12 ya mwaka 1965.

Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995.

Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel