MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 22 December 2023

Filed in Habari by on 22/12/2023 0 Comments

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 22 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Ijumaa tarehe 22 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 22 December 2023, Ijumaa vya kubadilisha fedha za kigeni leo Ijumaa 22 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 22 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 22 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 22 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english.

CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 22 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Ijumaa 22 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 22 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

BOT exchange rate USD to TZS today, BOT Exchange Rate today USD, List of Governors of Bank of Tanzania, Bank of Tanzania Address, Bank of Tanzania Scholarship, BOT exchange rate today, BOT Tanzania exchange rate, www.bot.go.tz vacancies, Bank of Tanzania Act, BOT branches in Tanzania Function of Bank of Tanzania (BOT), Bank of Tanzania Regulations.

Exchange Rates
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 678.7132 685.4443 682.0788 22-Dec-23
2 ATS 159.9486 161.3658 160.6572 22-Dec-23
3 AUD 1685.728 1703.0888 1694.4084 22-Dec-23
4 BEF 54.56 55.043 54.8015 22-Dec-23
5 BIF 0.8713 0.8793 0.8753 22-Dec-23
6 BWP 185.6968 188.309 187.0029 22-Dec-23
7 CAD 1866.957 1885.4853 1876.2211 22-Dec-23
8 CHF 2902.73 2930.3923 2916.5611 22-Dec-23
9 CNY 349.1 352.5219 350.811 22-Dec-23
10 CUC 103.8573 104.8958 104.3765 22-Dec-23
11 DEM 998.7475 1135.2875 1067.0175 22-Dec-23
12 DKK 367.1706 370.8095 368.9901 22-Dec-23
13 DZD 18.5757 18.6793 18.6275 22-Dec-23
14 ESP 13.2281 13.3448 13.2865 22-Dec-23
15 EUR 2737.0958 2765.222 2751.1589 22-Dec-23
16 FIM 370.1696 373.4498 371.8097 22-Dec-23
17 FRF 335.533 338.501 337.017 22-Dec-23
18 GBP 3154.8512 3186.6515 3170.7514 22-Dec-23
19 HKD 319.168 322.3514 320.7597 22-Dec-23
20 INR 29.9505 30.2301 30.0903 22-Dec-23
21 IQD 1.9042 1.9203 1.9122 22-Dec-23
22 IRR 0.0593 0.0599 0.0596 22-Dec-23
23 ITL 1.1367 1.1468 1.1417 22-Dec-23
24 JPY 17.4672 17.6407 17.554 22-Dec-23
25 KES 16.1855 16.3262 16.2559 22-Dec-23
26 KRW 1.9163 1.9325 1.9244 22-Dec-23
27 KWD 8110.4164 8188.856 8149.6362 22-Dec-23
28 MWK 1.3758 1.4808 1.4283 22-Dec-23
29 MYR 535.6919 540.468 538.0799 22-Dec-23
30 MZM 38.6926 39.0189 38.8557 22-Dec-23
31 NAD 136.4224 137.7113 137.0669 22-Dec-23
32 NGN 3.025 3.0478 3.0364 22-Dec-23
33 NLG 998.7475 1007.6046 1003.1761 22-Dec-23
34 NOK 241.8308 244.178 243.0044 22-Dec-23
35 NZD 1561.0993 1577.7173 1569.4083 22-Dec-23
36 PKR 8.5393 8.9495 8.7444 22-Dec-23
37 QAR 684.0215 690.4827 687.2521 22-Dec-23
38 RWF 1.9711 2.0179 1.9945 22-Dec-23
39 SAR 664.4916 671.1007 667.7961 22-Dec-23
40 SDR 3274.8936 3307.6426 3291.2681 22-Dec-23
41 SEK 246.7724 249.1661 247.9693 22-Dec-23
42 SGD 1876.3733 1893.9964 1885.1848 22-Dec-23
43 TRY 85.5003 86.347 85.9237 22-Dec-23
44 UGX 0.6372 0.6687 0.653 22-Dec-23
45 USD 2492.5743 2517.5 2505.0371 22-Dec-23
46 GOLD 5076272.0446 5128427.1943 5102349.6194 22-Dec-23
47 ZAR 135.9677 137.3079 136.6378 22-Dec-23
48 ZMK 95.5651 99.3097 97.4374 22-Dec-23
49 ZWD 0.4664 0.4759 0.4712 22-Dec-23
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Ijumaa tarehe 22 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 22 December 2023, Ijumaa vya kubadilisha fedha za kigeni leo Ijumaa 22 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 22 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.


Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995. Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

Kabla ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania, historia ya masuala ya noti na sarafu nchini imegawanyika katika sehemu mbili: kabla ya kuanzishwa kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919; na baada ya kuanzishwa kwa bodi hiyo hadi mwezi Juni 1966 ilipoanzishwa Benki Kuu ya Tanzania.

Masuala ya noti na sarafu kabla ya mwaka 1919 yalikuwa yanaendeshwa tofauti upande wa Tanganyika na wa Zanzibar. Katika kipindi hicho, Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa Kijerumani, wakati Zanzibar ilikuwa na serikali yake (ya Waarabu). Sarafu iliyokuwa inatumika Tanganyika ni Rupia ya Kijerumani, ambayo ilitengenezwa kwa fedha, pamoja na sarafu nyingine iliyoitwa Heller ambayo ilikuwa moja ya mia ya Rupia. Fedha iliyokuwa ikitumika Zanzibar ni Rupia ya India. Pia, magamba (shells) na ng’ombe vilitumika katika kuhifadhi thamani na wakati mwingine kama fedha kwa ajili ya kununua na kuuza bidhaa na huduma.

Shughuli za kibenki hapa nchini zilianza mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Dar es Salaam. Benki hiyo ilipewa kibali na Serikali ya Ujerumani kuchapisha noti na kutengeneza sarafu kwa ajili ya matumiz nchinii. Kiwanda cha muda cha kutengeneza sarafu kilianzishwa Tabora. Mwaka 1911, benki nyingine ya Kijerumani iliyoitwa Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanganyika iliwekwa chini ya usimamizi wa Uingereza na kuanza kutumia mfumo wa fedha uliokuwa unatumika Kenya na Uganda:

(a) Kwa kuanzisha Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919, na

(b) Kwa kupiga mnada mali za benki za Kijerumani na kuruhusu benki za Kiingereza kufungua ofisi zake Tanganyika.

Kanuni za kikatiba, kazi na mamlaka ya bodi ya sarafu zilieleza kwamba EACB iliundwa ili kusimamia usambazaji wa noti na sarafu katika eneo lililokuwa chini ya utawala wa Waingereza katika Afrika Mashariki pamoja na maeneo mengine tegemezi katika ukanda huo, ambayo yangeweza kuongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza (Secretary of State), ili kuhakikisha kwamba kuna kiwango cha kutosha cha noti na sarafu.

Mwanzoni, EACB ilifanya kazi Tanganyika, Kenya na Uganda. Zanzibar ilijiunga na EACB mwaka 1936. Nchi zilizokuwa chini ya ukoloni zilijiunga na kujitoa katika bodi hiyo baada ya muda mfupi.

EACB ilikuwa na mamlaka ya kuchapisha noti na kutengeneza sarafu zake baada kuidhinishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, kwa ajili ya kusambazwa katika maeneo iliyokuwa inayahudumia. Kiwango cha kubadilisha fedha za EACB na paundi ya Uingereza kilipangwa na Waziri wa Mambo ya Nje. Thamani ya sarafu ya EACB ilikuwa inalindwa na paundi ya Uingereza. EACB ilihitimisha kazi zake mwaka 1966 wakati nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zilipoamua kuanzisha benki kuu zao.

Kufuatia uamuzi wa kuivunja Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki na kuanzishwa kwa Benki Kuu katika kila nchi za Tanzania, Kenya na Uganda; Bunge la Tanzania lilipitisha Sheria ya Benki Kuu Na. 12 ya mwaka 1965.

Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995.

Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel