MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 December 2023

Filed in Habari by on 23/12/2023 0 Comments

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 December 2023,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 23 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumamosi 23 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 23 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 December 2023

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english.

CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 23 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumamosi 23 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 23 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.

BOT exchange rate USD to TZS today, BOT Exchange Rate today USD, List of Governors of Bank of Tanzania, Bank of Tanzania Address, Bank of Tanzania Scholarship, BOT exchange rate today, BOT Tanzania exchange rate, www.bot.go.tz vacancies, Bank of Tanzania Act, BOT branches in Tanzania Function of Bank of Tanzania (BOT), Bank of Tanzania Regulations.

Exchange Rates
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 679.4427 686.1997 682.8212 23-Dec-23
2 ATS 160.1074 161.526 160.8167 23-Dec-23
3 AUD 1699.3782 1716.624 1708.0011 23-Dec-23
4 BEF 54.6142 55.0976 54.8559 23-Dec-23
5 BIF 0.8733 0.8791 0.8762 23-Dec-23
6 CAD 1880.2181 1898.4481 1889.3331 23-Dec-23
7 CHF 2920.5777 2948.4029 2934.4903 23-Dec-23
8 CNY 349.7259 353.1241 351.425 23-Dec-23
9 DEM 999.7394 1136.4149 1068.0771 23-Dec-23
10 DKK 368.8664 372.5166 370.6915 23-Dec-23
11 ESP 13.2413 13.3581 13.2997 23-Dec-23
12 EUR 2749.794 2777.796 2763.795 23-Dec-23
13 FIM 370.5373 373.8207 372.179 23-Dec-23
14 FRF 335.8662 338.8372 337.3517 23-Dec-23
15 GBP 3174.701 3207.456 3191.0785 23-Dec-23
16 HKD 319.3663 322.5559 320.9611 23-Dec-23
17 INR 30.0199 30.3095 30.1647 23-Dec-23
18 ITL 1.1378 1.1479 1.1429 23-Dec-23
19 JPY 17.5572 17.7315 17.6443 23-Dec-23
20 KES 16.0453 16.1022 16.0738 23-Dec-23
21 KRW 1.9247 1.9401 1.9324 23-Dec-23
22 KWD 8124.0216 8202.591 8163.3063 23-Dec-23
23 MWK 1.3772 1.4824 1.4298 23-Dec-23
24 MYR 539.004 543.6894 541.3467 23-Dec-23
25 MZM 38.731 39.0576 38.8943 23-Dec-23
26 NLG 999.7394 1008.6052 1004.1723 23-Dec-23
27 NOK 244.22 246.585 245.4025 23-Dec-23
28 NZD 1572.3802 1589.112 1580.7461 23-Dec-23
29 PKR 8.557 8.968 8.7625 23-Dec-23
30 RWF 1.9716 2.0216 1.9966 23-Dec-23
31 SAR 665.2047 671.7671 668.4859 23-Dec-23
32 SDR 3278.1458 3310.9272 3294.5365 23-Dec-23
33 SEK 248.9945 251.4167 250.2056 23-Dec-23
34 SGD 1885.1904 1903.3232 1894.2568 23-Dec-23
35 UGX 0.6377 0.6691 0.6534 23-Dec-23
36 USD 2495.0496 2520 2507.5248 23-Dec-23
37 GOLD 5141798.0198 5200020 5170909.0099 23-Dec-23
38 ZAR 135.4525 136.7291 136.0908 23-Dec-23
39 ZMW 95.3961 99.1345 97.2653 23-Dec-23
40 ZWD 0.4669 0.4763 0.4716 23-Dec-23
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara

VIWANGO vya Kubadilisha Fedha za Kigeni Leo Jumamosi tarehe 23 December 2023, Kubadili pesa za kigeni kwa mtandao, CRDB exchange rate USD to TZS today, Kubadilisha fedha za kigeni in english,CRDB exchange rate today, BOT exchange Rate Euro to TZS, Viwango vya dola leo tarehe 23 December 2023, Ijumaa vya kubadilisha fedha za kigeni leo Jumamosi 23 December 2023, Viwango vya kubadilisha fedha leo 23 Disemba 2023, Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo tanzania, BOT exchange rate previous today, BOT exchange rate USD to TZS today, BOT exchange rate today.


Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995. Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

Kabla ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania, historia ya masuala ya noti na sarafu nchini imegawanyika katika sehemu mbili: kabla ya kuanzishwa kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919; na baada ya kuanzishwa kwa bodi hiyo hadi mwezi Juni 1966 ilipoanzishwa Benki Kuu ya Tanzania.

Masuala ya noti na sarafu kabla ya mwaka 1919 yalikuwa yanaendeshwa tofauti upande wa Tanganyika na wa Zanzibar. Katika kipindi hicho, Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa Kijerumani, wakati Zanzibar ilikuwa na serikali yake (ya Waarabu). Sarafu iliyokuwa inatumika Tanganyika ni Rupia ya Kijerumani, ambayo ilitengenezwa kwa fedha, pamoja na sarafu nyingine iliyoitwa Heller ambayo ilikuwa moja ya mia ya Rupia. Fedha iliyokuwa ikitumika Zanzibar ni Rupia ya India. Pia, magamba (shells) na ng’ombe vilitumika katika kuhifadhi thamani na wakati mwingine kama fedha kwa ajili ya kununua na kuuza bidhaa na huduma.

Shughuli za kibenki hapa nchini zilianza mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Dar es Salaam. Benki hiyo ilipewa kibali na Serikali ya Ujerumani kuchapisha noti na kutengeneza sarafu kwa ajili ya matumiz nchinii. Kiwanda cha muda cha kutengeneza sarafu kilianzishwa Tabora. Mwaka 1911, benki nyingine ya Kijerumani iliyoitwa Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga.

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanganyika iliwekwa chini ya usimamizi wa Uingereza na kuanza kutumia mfumo wa fedha uliokuwa unatumika Kenya na Uganda:

(a) Kwa kuanzisha Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki (EACB) mwezi Desemba 1919, na

(b) Kwa kupiga mnada mali za benki za Kijerumani na kuruhusu benki za Kiingereza kufungua ofisi zake Tanganyika.

Kanuni za kikatiba, kazi na mamlaka ya bodi ya sarafu zilieleza kwamba EACB iliundwa ili kusimamia usambazaji wa noti na sarafu katika eneo lililokuwa chini ya utawala wa Waingereza katika Afrika Mashariki pamoja na maeneo mengine tegemezi katika ukanda huo, ambayo yangeweza kuongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza (Secretary of State), ili kuhakikisha kwamba kuna kiwango cha kutosha cha noti na sarafu.

Mwanzoni, EACB ilifanya kazi Tanganyika, Kenya na Uganda. Zanzibar ilijiunga na EACB mwaka 1936. Nchi zilizokuwa chini ya ukoloni zilijiunga na kujitoa katika bodi hiyo baada ya muda mfupi.

EACB ilikuwa na mamlaka ya kuchapisha noti na kutengeneza sarafu zake baada kuidhinishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, kwa ajili ya kusambazwa katika maeneo iliyokuwa inayahudumia. Kiwango cha kubadilisha fedha za EACB na paundi ya Uingereza kilipangwa na Waziri wa Mambo ya Nje. Thamani ya sarafu ya EACB ilikuwa inalindwa na paundi ya Uingereza. EACB ilihitimisha kazi zake mwaka 1966 wakati nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zilipoamua kuanzisha benki kuu zao.

Kufuatia uamuzi wa kuivunja Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki na kuanzishwa kwa Benki Kuu katika kila nchi za Tanzania, Kenya na Uganda; Bunge la Tanzania lilipitisha Sheria ya Benki Kuu Na. 12 ya mwaka 1965.

Benki Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995.

Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel