MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

Filed in Uncategorized by on 24/02/2024 0 Comments

YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Yanga yaichapa Belouizdadna kutinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 results, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 score.

YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024

YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Yanga yaichapa Belouizdadna kutinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 results, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 score.

Klabu ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria.

Mudathir Yahya ndiye alikuwa wa Kwanza kuifungia Yanga bao la kuongoza Katika dakika ya 43 akimalizia krosi ya Joyce Lomalisa.

Kipindi cha pili Yanga ilirejea kwa kasi na kufanikiwa kufunga mabao mawili Kwa mkupuo dakika ya 47 na 48 kupitia kwa Stephane Aziz Ki na Kennedy Musonda.

YANGA yatinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024,Yanga yaichapa Belouizdadna kutinga robo Fainali CAF Champions League 2023/2024, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 results, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 score.Stephen Aziz Ki akamtengenezea Joseph Guede pasi ya bao la nne Katika dakika ya 84 na kufanya Yanga kuibuka na mabao 4-0.

Kwa Ushindi huo Yanga inatinga Robo Fainali ya CAF Champions League 2023/2024 baada ya kufikisha pointi 8 ikiwa na faida ya head-to-head dhidi ya CR Belouizdad.

Kwa maana hiyo CR Belouizdad hata washinde mabao mengi katika mechi yao ya mwisho dhidi ya Medeama na Yanga wafungwe mabao mengi dhidi ya Al Ahly, Yanga watabaki kwenye nafasi ya pili.

Aidha mechi ya mwisho dhidi ya Al Ahly itakuwa ya kutafuta timu itakayomaliza nafasi ya kwanza kwenye Kundi B.

Mechi za mwisho zitachezwa Machi 1, Yanga watakuwa wageni wa Al Ahly Uwanja wa Cairo International, Cairo nchini Misri na CR Belouizdad watakuwa wenyeji wa Medeama Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers nchini Algeria, mechi zote zitachezwa majira ya Saa 1:00 usiku.

Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 schedule, Yanga yatinga robo fainali caf champions league 2023 2024 kibabe,ratiba ya caf champions league 2023/24, Ratiba ya Robo Fainali Club Bingwa Africa, CAF Champions League final 2024,Yanga group stage CAF 2023/2024, CAF Champions League fixtures 2023/24, Makundi ya Club Bingwa Africa 2023/24.

PIA UNAWEZA KUSOMAūüĎá

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel