MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPARATIBA YA NUSU FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA SIMBA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


RATIBA YA YANGA ROBO FAINALI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023/24 BOFYA HAPA


ZAWADI ya Bingwa Mapinduzi Cup 2023/2024

Filed in Michezo by on 26/12/2023 0 Comments

ZAWADI ya Bingwa Mapinduzi Cup 2023/2024

ZAWADI ya Bingwa Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-2024,Yanga yapangwa Kundi C Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Simba yapangwa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2023/2024,Zawadi ya bingwa wa mapinduzi cup 2024 date, ⁦ratiba ya mapinduzi cup 2023⁩/24, ⁦ratiba mapinduzi cup 2023⁩/2024, ⁦mapinduzi cup 2023/24 msimamo, ⁦mapinduzi cup 2023/2024 fixtures.

ZAWADI ya Bingwa Mapinduzi Cup 2023/2024

ZAWADI ya Bingwa Mapinduzi Cup 2023/2024, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-2024,Yanga yapangwa Kundi C Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Simba yapangwa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2023/2024,Zawadi ya bingwa wa mapinduzi cup 2024 date.

KAMATI ya Kombe la Mapinduzi 2024 imetangaza zawadi za Washindi wa msimu huu wa 2023/2024 kwa kuweka bayana kuwa Bingwa ataondoka na kitita cha Sh100 Milioni.

Kamati hiyo imesema kuwa Mshindi wa Pili atajishindi Sh70 milioni kwenye Michuano hiyo inayoshirikisha timu za Visiwani Zanziabar, Tanzania Bara zikiwamo Simba na Yanga na nyingine kutoka nje ya nchi.

Aidha Zawadi hiyo ya Bingwa ni mara mbili na ile ya msimu uliopita kwani Bingwa alipata Sh50 milioni, hii ni kutokana na ukubwa wa michuano hiyo ikiakisi Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mbarouk Othman amesema kuwa mbali na fedha hizo zawadi nyingine pia zitakuwepo ikiwamo zawadi ya Mchezaji bora, zawadi ya kipa bora na nyinginezo ambazo zimo kwenye mchezo wa Mpira wa Miguu.

Kamati hiyo pia imetoa taarifa ya kujitoa kwa timu za Bandari ya Kenya na URA ya Uganda kutokana na changamoto ambazo zipo nje ya uwezo wao na nafasi zao zitachukuliwa na JKU ya Zanzibar na Jamus FC kutoka Sudan Kusini.

Kujitoa kwa timu hizo kumebadilisha makundi ya awali na sasa kundi A litaundwa na timu za Azam FC, Vital’O, Chipukizi United na Mlandege FC, huku kundi B likiwa na timu za JKU, Simba, APR na Singida Fountain Gate, wakati Kundi C litakuwa na timu za Jamus FC, Yanga, KVZ na Jamhuri, mfumo wa mashindano hayo utabaki ule ule.

Katibu wa Kamati ya michuano hiyo, Nasra Juma Mohammed amesema kuwa waliumiza vichwa sana kutafuta timu ambazo zitaziba nafasi hizo na kwa bahati nzuri wamezipata JKU na Jamus FC.

Nasra amesema kuwa kiingilio cha juu kitakuwa kwenye Mashindano hayo kitakuwa Sh10,000 wakati cha chini ni Sh3,000 kwenye Uwanja wa Amaan utakaotumika kwa Michezo hiyo.

Mechi zitakazochezwa Saa 10:15 jioni, Viingilio vitakuwa ni Shilingi 5,000 Wings na Tsh 3,000 Kwa Mzunguko.

Mechi zitakazochezwa Saa 2:15 usiku Viingilio Kwa Wings itakuwa Tsh 10,000, Jukwaa la Mashariki (Urusi) itakuwa Tsh 5,000 na Jukwaa la Kusini na Kaskazini itakuwa Tsh 3,000.

Eneo la V.I.P litakuwa na tiketi maalum na Idadi ya watu maalum.

⁦Ratiba ya mapinduzi cup 2023⁩/24, ⁦ratiba mapinduzi cup 2023⁩/2024, ⁦mapinduzi cup 2023/24 msimamo, ⁦mapinduzi cup 2023/2024 fixtures.

Mapinduzi cup 2024 fixtures,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table, and Results – Matokeo,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table and Results,Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023-24 Teams Stage Matches,Ratiba Mapinduzi Cup 2024 Fixture Results Tazama Hapa, Makundi ya mapinduzi cup 2024 schedule
Makundi ya mapinduzi cup 2024 results
Mapinduzi cup 2024 fixtures.

Kuhusu Mapinduzi Cup Zanzibar 

Mapinduzi Cup ni Mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Cup ni Mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya Kwanza mwaka wa 1998. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu 2013 vilabu kutoka Kenya na Uganda vimealikwa kushiriki mara kwa mara. Pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere, michuano hiyo mitatu ndiyo michujo Mikuu ya mtoano visiwani Zanzibar.

Champions

Year Winners Results Runner-ups Ref.
1998
Jamhuri
2 – 1
Shangani SC
2001
Polisi SC
2002
KMKM
2004
Young Africans SC
2 – 1
Mtibwa Sugar
2005
Mafunzo FC
2 – 0
JKU SC
2006
not held
2007
Malindi SC
2 – 0
Miembeni SC
2008
Miembeni SC
2 – 1
Polisi SC
2009
not held
2010
Mtibwa Sugar
1 – 0
Ocean View FC
2011
Simba SC
2 – 0
Young Africans SC
2012
Azam FC
3 – 1
Jamhuri
2013
Azam FC
2 – 1
Tusker FC
2014
Kampala City Council
1 – 0
Simba SC
2015
Simba SC
0 – 0 (4–3 pen.)
Mtibwa Sugar
2016
Uganda Revenue Authority
3 – 1
Mtibwa Sugar
2017
Azam FC
1 – 0
Simba SC
2018
Azam FC
0 – 0 (4–3 pen.)
Uganda Revenue Authority
2019
Azam FC
2– 1
Simba SC
2020
Mtibwa Sugar
1–0
Simba SC
2021
Young Africans
0–0 (4–3 pen.)
Simba SC
2022
Simba SC
1 – 0
Azam FC
2023
Mlandege FC
2 – 1
Singida Big Stars

Winner by club

Club Number Years
Azam FC
5
2012, 2013, 2017, 2018, 2019
Simba SC
3
2011, 2015, 2022
Mtibwa Sugar
2
2010, 2020
Young Africans SC
2
2004, 2021
Jamhuri
1
1998
Polisi SC
1
2001
KMKM
1
2002
Mafunzo FC
1
2005
Malindi SC
1
2007
Miembeni SC
1
2008
Kampala City Council
1
2014
Uganda Revenue Authority
1
2016
Mlandege FC
1
2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Nijuze Habari WhatsAp Channel
  Nijuze Habari WhatsAp Group
  Nijuze Habari Telegram Channel